bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Sababu shetani ndie mkuu wa ulimwengu huu hata ukipata utajiri nje ya giza still hukwepi mifumo yaoShetani alimchukua yesu na kumpeleka mlimani na kumuonyesha mali za dunia na kumuambia, ukinisujudia mimi hizi mali zote za dunia na ufalme nitakupa.
NB: Kumiliki mali nyingi, ndani yake huwa kuna mambo ya giza.
mpaka hapo ameshaelewaShetani alimchukua yesu na kumpeleka mlimani na kumuonyesha mali za dunia na kumuambia, ukinisujudia mimi hizi mali zote za dunia na ufalme nitakupa.
NB: Kumiliki mali nyingi, ndani yake huwa kuna mambo ya giza.
Hujaujua bado ulimwengu usio onekana unavofanya kazi.Bado sanaHaibadili kua mada ya kidada na ya kijinga hii,hawa ndio mtu akifanikiwa hua wanasema sijui freemason,mara sijui makafara,mara wasema kuna Joka kubwa ndio linampa hela,ujinga ujinga mwingi tu.
Hahahaha kuna yule wa sijui zambia sijui zimbabwe alikua anaitwa GINIMBI alishafariki kimiujiza ujiza japo kwa mtu asiye na macho ya rohoni ataona ile ni ajali ya kawaida.ile ni pure occult.labda hayo tajwa yapo garage
Wewe umejuaje kua ile ajali haikua ya kawaida? umefanyaje mpaka ukawa na hayo macho ya rohoni na kuyatumia kuona? na mwingine akitaka kua na hayo macho ya rohoni anayapataje?Hahahaha kuna yule wa sijui zambia sijui zimbabwe alikua anaitwa GINIMBI alishafariki kimiujiza ujiza japo kwa mtu asiye na macho ya rohoni ataona ile ni ajali ya kawaida.ile ni pure occult.
Ulimwengu usio onekana ila wewe unauona!Hujaujua bado ulimwengu usio onekanaunavofanya kazi.Bado sana
Hata ukiambiwa kuna sehemu unaweza enda au ukajiunga na hizi OCCULT societies zinatoa paund, euro, dollar zinavutwa tu kirahis tena pure sio maziangaombwe..Huu ulimwengu uone hivi hivi tena ni bora hata usiujue kama ambavyo huujui
Sasa si aende kwa mtaalamu kwan akapewe hizo ndumbuli za kunatishia utajiri, mie kwangu atapewa dildo km leisure na utajiri asiupatee.
Wananzengo mumeanza [emoji2][emoji2][emoji2]Ukiziagalia hizo pichs jamaa anaonekana kabisa hana furaha ni ile show off tu
Duuh"Nipo tayari kupata utajiri kwa njia yoyote iwe kafara au kupoteza marinda"
Mambo mrembo Kelsea ππWananzengo mumeanza [emoji2][emoji2][emoji2]
Ina maana wako sawa na akina gates zucker π
Mpigie simu tu π π πSalama nashukuru Mungu. Nasoma huu uzi nawaza na kuwazua pesa haitoshi [emoji18][emoji18]
π π π .. nomaaa sanaaa.. tutumie mathematics tu kuzipataOhh hapana aise...