Ni kweli hali ngumu na umaskini ni fedheha lakini tujiepushe na utajiri wa shortcut, utajuta sana, kafara ni lazima

Kuna mtu mzima anayefuatilia maisha ya watu? una watoto wakubwa ila unaleta mambo za kitoto.

Hizi habari achana nazo kuzishabikia ni kwamba unaamini na wewe sio? we si ndo namba moja mara hamna uchawi ,mara hamna Mungu ...Nin kimekupta?

Na Phd yako sasa sikia wapo madogo wanawin kweny game kwenda huko china wanavuta mizigo wanakuja kuuza ,halafu hawana familia kazi zao ni kudaka wadangaji mitandaoni kwa kujipost na kuonyesha pesa.

Watu wanatafuta pesa na wanapata ,we mtu mzima still anajikongoja na elimu yako ya ugoko ,doubts nyingi tambua akili yako ishalala watu washakuzidi maarifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…