Ni kweli hali ngumu na umaskini ni fedheha lakini tujiepushe na utajiri wa shortcut, utajuta sana, kafara ni lazima

Ni kweli hali ngumu na umaskini ni fedheha lakini tujiepushe na utajiri wa shortcut, utajuta sana, kafara ni lazima

Maana japo sina gari ila naona mitumba tu tena ya miaka 10 nyuma 😁
Huenda hivi vyuma vyake vipo garage 😅😅

Screenshot_20230705-144438.png
Screenshot_20230705-144518.png
Screenshot_20230705-144544.png
Screenshot_20230705-144822.png
Screenshot_20230705-144840.png
 
Kwani mkuu hiyo Avatar yake haiwezi kukupa majibu ni mtu wa aina gani huyu.

First born wangu anafanya Masters University, second born yupo high school, na wengine wapo secondary na nina extended family.

Kuna wakati humu watu wengine unawaangalia na kuwaacha kama walivyo.
Kuna mtu mzima anayefuatilia maisha ya watu? una watoto wakubwa ila unaleta mambo za kitoto.

Hizi habari achana nazo kuzishabikia ni kwamba unaamini na wewe sio? we si ndo namba moja mara hamna uchawi ,mara hamna Mungu ...Nin kimekupta?

Na Phd yako sasa sikia wapo madogo wanawin kweny game kwenda huko china wanavuta mizigo wanakuja kuuza ,halafu hawana familia kazi zao ni kudaka wadangaji mitandaoni kwa kujipost na kuonyesha pesa.

Watu wanatafuta pesa na wanapata ,we mtu mzima still anajikongoja na elimu yako ya ugoko ,doubts nyingi tambua akili yako ishalala watu washakuzidi maarifa.
 
Back
Top Bottom