Continental Ground
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 1,907
- 3,895
Tafuta pesa huku ukimtegemea Mungu hakika utatoboa tu .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiniambiemganga mmoja wa kienyeji huko insta na tik tok anawapa watu hela za uchawi wazi wazi....
Huna akili.Wajinga nendeni PM mkaombe nafasi ya kujiunga na Ubrotherhood.
Mkuu, watandike.
Ni occult powers, achana na hayo maisha, nimeweka huu Uzi kuwatia watu moyo wapambane shida zina mwisho, lakini wasiingie kwenye hizi occult power.WAKO WAPI HAO NA NI KINA NANI KWA HAPA TOWN?
Wasije badaye wakasema hawajaambiwaNi occult powers, achana na hayo maisha, nimewwka huu Uzi kuwatia watu moyo wapambane shida zina mwisho, lakini wasiingie kwenye hizi occult power.
Bila kukuficha hizi huwa zinahitaji kafara ya damu na siyo Mara moja, na ukiingia hutoki mwisho wa siku utatamani maisha yako ya zamani ya kuungaunga lakini maisha yanakwenda.
Haya maisha yana siri kubwa, mwisho wa siku uamuzi ni wako, kama utaridhika na Toyota IST halali kwa jasho lako au unataka Toyota land cruiser V8 kwa pesa za damu zisizo na hatia? Tena siyo damu ya mtu baki ni damu ya mpendwa wako kabisa na huo siyo mwisho, kafara lazima ziendelee.Kumbe tusibabaike na namba mpya za E hapa mjini !
Kuna muda unaona kama umaskini upo kwaajili yako unapo tazama wenye maendeleo ni wadogo zako ,pia wewe upo kwenye utafutaji karibu miaka 20 lakini hata baiskeli ngumu kuipata.
Ndio maana tunaadharisha na kuonya, Mimi nilikuwa na issue zangu zingine kabisa naambiwa nikatambulishwe kwenye brotherhood.Wasije badaye wakasema hawajaambiwa
Ova
Inayosomwa na makahaba kama wewe, nikupe contact za occult brothers?Get rich or die tryin'
Mada ya kidada sana hii.
Mada ya kidada sana hii,Inayosomwa na makahaba kama wewe.
😀😀😀😀Wajinga nendeni PM mkaombe nafasi ya kujiunga na Ubrotherhood.
Mkuu, watandike.
Najaribu tu kulinganisha Avatar yako jinsi ulivyo mrembo na huyu occult master.Mada ya kidada sana hii,
Hakuna utajiri ambao hauna umafia,endelea kukaa kwa bimkubwa mpaka akili ikukomae.
Rubbish.
Haibadili kua hii ni mada ya warembo,Najaribu tu kulinganisha Avatar yako jinsi ulivyo mrembo na huyu occult master.
Umeileta hapa tayari kuna vijana mate yana wadondoka. Watawatafuta hadi wawapate ili wakajiunge.Ndio maana tunaadharisha na kuonya, Mimi nilikuwa na issue zangu zingine kabisa naambiwa nikatambulishwe kwenye brotherhood.
Uzuri haya mambo nayajuwa kitambo na ninaamini hata nipitie magumu kiasi gani lakini yana mwisho, siwezi kujoin brotherhood ya occult powers.
Sasa kwa jinsi hali imekuwa ngumu Nina mashaka sana vijana wengi ni kwamba tu hawana connection za kuwafikia wahusika lakini wakipata access kama Mimi itakuja kuwa ni msiba kwa Taifa.
Sio akili tu..yaani hana akili ya mambo ya rohoni yanavofanya kazi.Huna akili.
Huyu si don shafiiSitaki kuandika mengi, tutakwenda kwa lugha ya Picha tu, tuwe makini na watu, ukione Picha kama hizi usitamani haya maisha utapelekwa shimoni.
Nilikuwa na conversation ya kuboost biashara zangu na jamaa Fulani ambaye tumefahiana kama mwaka sasa, nikashauriwa nitambulishwe kwenye brotherhood, kwanza Mimi ukiniambia tu neno brotherhood moja kwa moja nakumbuka filamu ya Nigeria Billionaires club ya Pete Edochie na Madon wenzake.
Nina story ndefu na ya kweli ila nawashauri wote tupambane na umaskini tuvumilie shida zina mwisho Mungu atatufanyia wepesi, hawa jamaa mwisho wa siku huwa wanataka kafara ya damu.