Ni kweli hali ngumu na umaskini ni fedheha lakini tujiepushe na utajiri wa shortcut, utajuta sana, kafara ni lazima

Ni kweli hali ngumu na umaskini ni fedheha lakini tujiepushe na utajiri wa shortcut, utajuta sana, kafara ni lazima

WAKO WAPI HAO NA NI KINA NANI KWA HAPA TOWN?
Ni occult powers, achana na hayo maisha, nimeweka huu Uzi kuwatia watu moyo wapambane shida zina mwisho, lakini wasiingie kwenye hizi occult power.

Bila kukuficha hizi huwa zinahitaji kafara ya damu na siyo Mara moja, na ukiingia hutoki mwisho wa siku utatamani maisha yako ya zamani ya kuungaunga lakini maisha yanakwenda.
 
Ni occult powers, achana na hayo maisha, nimewwka huu Uzi kuwatia watu moyo wapambane shida zina mwisho, lakini wasiingie kwenye hizi occult power.

Bila kukuficha hizi huwa zinahitaji kafara ya damu na siyo Mara moja, na ukiingia hutoki mwisho wa siku utatamani maisha yako ya zamani ya kuungaunga lakini maisha yanakwenda.
Wasije badaye wakasema hawajaambiwa

Ova
 
Kumbe tusibabaike na namba mpya za E hapa mjini !
Kuna muda unaona kama umaskini upo kwaajili yako unapo tazama wenye maendeleo ni wadogo zako ,pia wewe upo kwenye utafutaji karibu miaka 20 lakini hata baiskeli ngumu kuipata.
Haya maisha yana siri kubwa, mwisho wa siku uamuzi ni wako, kama utaridhika na Toyota IST halali kwa jasho lako au unataka Toyota land cruiser V8 kwa pesa za damu zisizo na hatia? Tena siyo damu ya mtu baki ni damu ya mpendwa wako kabisa na huo siyo mwisho, kafara lazima ziendelee.
 
Wasije badaye wakasema hawajaambiwa

Ova
Ndio maana tunaadharisha na kuonya, Mimi nilikuwa na issue zangu zingine kabisa naambiwa nikatambulishwe kwenye brotherhood.

Uzuri haya mambo nayajuwa kitambo na ninaamini hata nipitie magumu kiasi gani lakini yana mwisho, siwezi kujoin brotherhood ya occult powers.

Sasa kwa jinsi hali imekuwa ngumu Nina mashaka sana vijana wengi ni kwamba tu hawana connection za kuwafikia wahusika lakini wakipata access kama Mimi itakuja kuwa ni msiba kwa Taifa.
 
Umeileta hapa tayari kuna vijana mate yana wadondoka. Watawatafuta hadi wawapate ili wakajiunge.
Vijana wengi wamefikia ukomo wa kufikiri na hivyo kupenda na kutafuta shortcut. Ukitafuta sana shortcuts tafsiri yake ni kwamba maisha yapo ukingoni hivyo wanatafuta na wao waambulie. Hawafikirii kabisa kuwa maisha yanaendelea
 
Sitaki kuandika mengi, tutakwenda kwa lugha ya Picha tu, tuwe makini na watu, ukione Picha kama hizi usitamani haya maisha utapelekwa shimoni.

Nilikuwa na conversation ya kuboost biashara zangu na jamaa Fulani ambaye tumefahiana kama mwaka sasa, nikashauriwa nitambulishwe kwenye brotherhood, kwanza Mimi ukiniambia tu neno brotherhood moja kwa moja nakumbuka filamu ya Nigeria Billionaires club ya Pete Edochie na Madon wenzake.

Nina story ndefu na ya kweli ila nawashauri wote tupambane na umaskini tuvumilie shida zina mwisho Mungu atatufanyia wepesi, hawa jamaa mwisho wa siku huwa wanataka kafara ya damu.
Huyu si don shafii
 
Back
Top Bottom