Ni kweli hali ngumu na umaskini ni fedheha lakini tujiepushe na utajiri wa shortcut, utajuta sana, kafara ni lazima

Ni kweli hali ngumu na umaskini ni fedheha lakini tujiepushe na utajiri wa shortcut, utajuta sana, kafara ni lazima

Hivi umekula leo mchana? naona umejaa makasiriko na unaandika pumba tu mpaka unanifananisha Mimi na Kiranga?

Huu ni msimu wa mihogo na inaiva vizuri hebu pita sehemu upate mihogo kwanza utulize njaa ushushie na Pepsi big akili zitakurudia.
Mihogo ndo nn?

Akili ishalala kwa Phd ya kucopy na kupaste ndo uje kutusumbua,Phd ndo uandike mipasho bado akili haijakuwa ...

Mtu mzima unaleta taarabu mitandaoni huyo jamaa kakuzidi wewe, endelea kupiga domo na sharubu zako kama paka mweny mawazo wenzio wanapiga pesa.
 
Kwenye maisha hakuna neutral shem 😊
kwenye maisha kuna aina mbili za nguvu zitendazo kazi ambazo zina fanya kazi.. nguvu ya giza au nguvu ya nuru.. na ukilazimisha uwe neutral unakuwa mboga ya nguzu za giza 😅😅
Ukiwa neutral unakua mboga ya nguvu za Giza!!

Huge statement!!

"Nilijenga vifrem tu na kaukumbi KWA nyuma!my friend acha!!!

Umewahi ambiwa una "Damu chungu na siku uchungu ukiisha tu unakwenda"

Na kweli unaona kuishiwa nguvu siku hadi siku, mawazo ya kifo yanakuelemea!

Nilipona hiyo!too bad!!
 
ukiwa mfanya biashara hasa kwetu Africa.. kuna mambo hata ukimsimulia mtu hawezi amini. Ila kuna mambo ya kutisha na kuogofya kama mwepesi mwepesi unajiona ndani ya futi kwa 6
 
Sijaona
1. Mercedes Benz Maybach GLS au S
2.Bentley flying spur
3. Rolls Royce phantom, Ghost au Cullinan
4. BMW 7 series etc

Hata Kama ni magari hayo siko tayari kutoa kafara

Wapuuzi wanatoa kafara ili Kununua makopo ya kijapan, shame on them
Kila kitu huwa kinaenda hatua kwa hatua mkuu huwezi vukaa
 
Back
Top Bottom