uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Unataka usemeje ? hizo picha zina uhusiano gani na hii mada zaidi ya kumchoresha jamaa hapo.
Akijibu nishtue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka usemeje ? hizo picha zina uhusiano gani na hii mada zaidi ya kumchoresha jamaa hapo.
Yes na viunja ujanja vya hapa na pale ambavyo haviumizi sana😀😅😅😅.. nomaaa sanaaa.. tutumie mathematics tu kuzipata
Mihogo ndo nn?Hivi umekula leo mchana? naona umejaa makasiriko na unaandika pumba tu mpaka unanifananisha Mimi na Kiranga?
Huu ni msimu wa mihogo na inaiva vizuri hebu pita sehemu upate mihogo kwanza utulize njaa ushushie na Pepsi big akili zitakurudia.
Akikuomba mche anyetukie je ? Na wewe si utakuwa unanyetuka... Hiyo najua huwezi Kugoma.🤣 🤣 🤣 🤣 siachi ng'o
mpaka waache kupiga mizinga
Ukiwa neutral unakua mboga ya nguvu za Giza!!Kwenye maisha hakuna neutral shem 😊
kwenye maisha kuna aina mbili za nguvu zitendazo kazi ambazo zina fanya kazi.. nguvu ya giza au nguvu ya nuru.. na ukilazimisha uwe neutral unakuwa mboga ya nguzu za giza 😅😅
ukiwa mfanya biashara hasa kwetu Africa.. kuna mambo hata ukimsimulia mtu hawezi amini. Ila kuna mambo ya kutisha na kuogofya kama mwepesi mwepesi unajiona ndani ya futi kwa 6Ukiwa neutral unakua mboga ya nguvu za Giza!!
Huge statement!!
"Nilijenga vifrem tu na kaukumbi KWA nyuma!my friend acha!!!
Umewahi ambiwa una "Damu chungu na siku uchungu ukiisha tu unakwenda"
Na kweli unaona kuishiwa nguvu siku hadi siku, mawazo ya kifo yanakuelemea!
Nilipona hiyo!too bad!!
Naam ndio ukweli.Umemaliza mkuu,ni wachache sana watakaokuelewa.
Kila kitu huwa kinaenda hatua kwa hatua mkuu huwezi vukaaSijaona
1. Mercedes Benz Maybach GLS au S
2.Bentley flying spur
3. Rolls Royce phantom, Ghost au Cullinan
4. BMW 7 series etc
Hata Kama ni magari hayo siko tayari kutoa kafara
Wapuuzi wanatoa kafara ili Kununua makopo ya kijapan, shame on them
Mniue [emoji23]ah kelsea....
pisi isiyo na chura[emoji23]
hamna wengine tunapenda kuvunja mifupa😋Mniue [emoji23]
Wapi wewee ebu nenda kasome comments zako kwenye uzi wa warembo wakali [emoji23]hamna wengine tunapenda kuvunja mifupa[emoji39]
napenda mifupa kweli...Wapi wewee ebu nenda kasome comments zako kwenye uzi wa warembo wakali [emoji23]
Ngoja nikapekue na ole wako ufute ntakuchapa.napenda mifupa kweli...
niletee comment nimepost naponda vimodo nakupa hela[emoji23]
Kipenzi bora ile avatar umeitoa jamaniAfu sijui.kitaulo? Ah mm hapana swaga hizi
Ndio master mwenyewe?Ni mtu mmoja huyo.
Mpaka nimeogopa[emoji28][emoji28][emoji28] naisikiliza hivi video yake... Joka linatema pesa kama bank, lazima uangushe ng'ombe wawili maksai kila mwisho wa mwezi, ulale chini kwenye chumba ambamo hilo joka limoo.. siku ng'ombe maksai waishe ndio mtu atajua hajui
HahahahaMpaka nimeogopa