Ni kweli hali ngumu na umaskini ni fedheha lakini tujiepushe na utajiri wa shortcut, utajuta sana, kafara ni lazima

Hakuna utajiri wa kishirikina kamwe tufanye kazi

Aina za Utajiri

1.Biashara haramu
2. Urithi
3. Kuchapa kazi
4 . wizi na ufisadi
Utajili wa kishikilikina upo Sema ni ngumu mtu kukwambia Mimi nimepita humo najua kikubwa ujasili ndio kitu ambacho unatakiwa kuwa nacho nimeshawahi kuwa naenda baharini kila siku saa nane usiku natupa Mayai ya kienyeji Saba halafu Asubuhi nakuwa kwenye biashala yangu hapo nilikuwa nauza mpk mauzo yanazidi mtaji Sema huwa sipendi kuandika history yangu Ila kuna mengi ya kujifunza kuhusu huu utajili Ila usiombe sababu ukiingia kutoka NI ngumu Sana na ni ghalama hata ya damu yako
 
[emoji23][emoji23][emoji23]daaah
 
Unataka usemeje ? hizo picha zina uhusiano gani na hii mada zaidi ya kumchoresha jamaa hapo.
Huyo dogo pichani anajinasibu kwa uwazi kutoa pesa kwa uchawi na nguvu za giza,anafanya visomo na huwa ana demonsrate kabisa live huko mjini Instagram.Nafikiri zina uhusiano wa moja kwa moja na mada ilioletwa mezani
 
Tell us in details unapatikanaje utajiri wa kishirikina. Tunasubiri
Wew hujui kitu mkuu siwez kuandika hapa Kila kitu. Wew ingia ofisin kula mshahara. Ongea kingereza Cha presentation subiri kufa tu. Huijui Dunia kijana.
Maprofesa wenyewe udsm pale washawahi kupaa na kuanguka na ungo. Kaulizie ukaoneshwe. Uchawi upoo na Utajiri wa mauzauza upo. Wapo watu mm nawajua walikufa pamoja na wote walitoa pumba mdomoni. Walikuwa matajiri wakubwa sana
Cc Bufa
 
Haya Nashkuru
 
Sitaki kuandika mengi, tutakwenda kwa lugha ya Picha tu, tuwe makini na watu, ukione Picha kama hizi usitamani haya maisha utapelekwa shimoni.

Nilikuwa na conversation ya kuboost biashara zangu na jamaa Fulani ambaye tumefahiana kama mwaka sasa, nikashauriwa nitambulishwe kwenye brotherhood, kwanza Mimi ukiniambia tu neno brotherhood moja kwa moja nakumbuka filamu ya Nigeria Billionaires club ya Pete Edochie na Madon wenzake.

Nina story ndefu na ya kweli ila nawashauri wote tupambane na umaskini tuvumilie shida zina mwisho Mungu atatufanyia wepesi, hawa jamaa mwisho wa siku huwa wanataka kafara ya damu.
Ni kweli aisee
 
you are very right...neno "xxhood" is more associated with rituals.
 
Huyo dogo pichani anajinasibu kwa uwazi kutoa pesa kwa uchawi na nguvu za giza,anafanya visomo na huwa ana demonsrate kabisa live huko mjini Instagram.Nafikiri zina uhusiano wa moja kwa moja na mada ilioletwa mezani
Hao watu wanawaaminisha kua wanapata hela kishirikina hua wanawahadaa tu na kufanya Money laundering,hakuna utajiri wa ushirikina,hayo ni mambo yakufikirika tu.
 
Mtu mwenye pesa na ukwasi mwingi huwa hana muda wa kujitangaza kwamba ana pesa...

By the way nina wasiwasi huyo bwana mdogo ni tapeli tu, nikifanya tathmini naona hayo magari ni ya kawaida(old fashion), kuna kitablet fulani hapo cha HP nakiona hakifiki hata milioni 1, mguuni kavaa moka za mpare mtundu bei haifiki hata laki 1...
 
Back
Top Bottom