Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Kwani watu wote wazima huwa na akili?Sasa mbona huwa hauna akili kama ni mtu mzima hivyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani watu wote wazima huwa na akili?Sasa mbona huwa hauna akili kama ni mtu mzima hivyo?
Si wote ila huyu kazidi kutokuwa na akili na anajisifia ana mtoto anasoma mastersKwani watu wote wazima huwa na akili?
Tell us in details unapatikanaje utajiri wa kishirikina. TunasubiriHuo Utajiri upo. Unless uwe na uelewa mdogo wa Dunia hiyo
Wewe unajihisi una akili? Huna akili.Sasa mbona huwa hauna akili kama ni mtu mzima hivyo?
Wewe huna jitu zima afu liongo liongo tuWewe unajihisi una akili? Huna akili.
Hapa unaonesha dhahiri huna akili, kusoma masters ni sifa kwa tutusa kama wewe, na siyo kwangu.Si wote ila huyu kazidi kutokuwa na akili na anajisifia ana mtoto anasoma masters
Utajili wa kishikilikina upo Sema ni ngumu mtu kukwambia Mimi nimepita humo najua kikubwa ujasili ndio kitu ambacho unatakiwa kuwa nacho nimeshawahi kuwa naenda baharini kila siku saa nane usiku natupa Mayai ya kienyeji Saba halafu Asubuhi nakuwa kwenye biashala yangu hapo nilikuwa nauza mpk mauzo yanazidi mtaji Sema huwa sipendi kuandika history yangu Ila kuna mengi ya kujifunza kuhusu huu utajili Ila usiombe sababu ukiingia kutoka NI ngumu Sana na ni ghalama hata ya damu yakoHakuna utajiri wa kishirikina kamwe tufanye kazi
Aina za Utajiri
1.Biashara haramu
2. Urithi
3. Kuchapa kazi
4 . wizi na ufisadi
[emoji23][emoji23][emoji23]daaahUtajili wa kishikilikina upo Sema ni ngumu mtu kukwambia Mimi nimepita humo najua kikubwa ujasili ndio kitu ambacho unatakiwa kuwa nacho nimeshawahi kuwa naenda baharini kila siku saa nane usiku natupa Mayai ya kienyeji Saba halafu Asubuhi nakuwa kwenye biashala yangu hapo nilikuwa nauza mpk mauzo yanazidi mtaji Sema huwa sipendi kuandika history yangu Ila kuna mengi ya kujifunza kuhusu huu utajili Ila usiombe sababu ukiingia kutoka NI ngumu Sana na ni ghalama hata ya damu yako
Huyo dogo pichani anajinasibu kwa uwazi kutoa pesa kwa uchawi na nguvu za giza,anafanya visomo na huwa ana demonsrate kabisa live huko mjini Instagram.Nafikiri zina uhusiano wa moja kwa moja na mada ilioletwa mezaniUnataka usemeje ? hizo picha zina uhusiano gani na hii mada zaidi ya kumchoresha jamaa hapo.
huyo dogo pichani yuko MwanzaWAKO WAPI HAO NA NI KINA NANI KWA HAPA TOWN?
Wew hujui kitu mkuu siwez kuandika hapa Kila kitu. Wew ingia ofisin kula mshahara. Ongea kingereza Cha presentation subiri kufa tu. Huijui Dunia kijana.Tell us in details unapatikanaje utajiri wa kishirikina. Tunasubiri
Haya NashkuruWew hujui kitu mkuu siwez kuandika hapa Kila kitu. Wew ingia ofisin kula mshahara. Ongea kingereza Cha presentation subiri kufa tu. Huijui Dunia kijana.
Maprofesa wenyewe udsm pale washawahi kupaa na kuanguka na ungo. Kaulizie ukaoneshwe. Uchawi upoo na Utajiri wa mauzauza upo. Wapo watu mm nawajua walikufa pamoja na wote walitoa pumba mdomoni. Walikuwa matajiri wakubwa sana
Cc Bufa
Ni kweli aiseeSitaki kuandika mengi, tutakwenda kwa lugha ya Picha tu, tuwe makini na watu, ukione Picha kama hizi usitamani haya maisha utapelekwa shimoni.
Nilikuwa na conversation ya kuboost biashara zangu na jamaa Fulani ambaye tumefahiana kama mwaka sasa, nikashauriwa nitambulishwe kwenye brotherhood, kwanza Mimi ukiniambia tu neno brotherhood moja kwa moja nakumbuka filamu ya Nigeria Billionaires club ya Pete Edochie na Madon wenzake.
Nina story ndefu na ya kweli ila nawashauri wote tupambane na umaskini tuvumilie shida zina mwisho Mungu atatufanyia wepesi, hawa jamaa mwisho wa siku huwa wanataka kafara ya damu.
Bora umenisaidia, JF ni kokoro, limebeba kila aina ya watu.Huyo dogo pichani anajinasibu kwa uwazi kutoa pesa kwa uchawi na nguvu za giza,anafanya visomo na huwa ana demonsrate kabisa live huko mjini Instagram.Nafikiri zina uhusiano wa moja kwa moja na mada ilioletwa mezani
you are very right...neno "xxhood" is more associated with rituals.Sitaki kuandika mengi, tutakwenda kwa lugha ya Picha tu, tuwe makini na watu, ukione Picha kama hizi usitamani haya maisha utapelekwa shimoni.
Nilikuwa na conversation ya kuboost biashara zangu na jamaa Fulani ambaye tumefahiana kama mwaka sasa, nikashauriwa nitambulishwe kwenye brotherhood, kwanza Mimi ukiniambia tu neno brotherhood moja kwa moja nakumbuka filamu ya Nigeria Billionaires club ya Pete Edochie na Madon wenzake.
Nina story ndefu na ya kweli ila nawashauri wote tupambane na umaskini tuvumilie shida zina mwisho Mungu atatufanyia wepesi, hawa jamaa mwisho wa siku huwa wanataka kafara ya damu.
Hao watu wanawaaminisha kua wanapata hela kishirikina hua wanawahadaa tu na kufanya Money laundering,hakuna utajiri wa ushirikina,hayo ni mambo yakufikirika tu.Huyo dogo pichani anajinasibu kwa uwazi kutoa pesa kwa uchawi na nguvu za giza,anafanya visomo na huwa ana demonsrate kabisa live huko mjini Instagram.Nafikiri zina uhusiano wa moja kwa moja na mada ilioletwa mezani
Hapana ila huwa wamekomaa kifikra kwasababu ya kuyaona mengi na uzoefuKwani watu wote wazima huwa na akili?