Ni kweli hali ngumu na umaskini ni fedheha lakini tujiepushe na utajiri wa shortcut, utajuta sana, kafara ni lazima

Ni kweli hali ngumu na umaskini ni fedheha lakini tujiepushe na utajiri wa shortcut, utajuta sana, kafara ni lazima

Wew hujui kitu mkuu siwez kuandika hapa Kila kitu. Wew ingia ofisin kula mshahara. Ongea kingereza Cha presentation subiri kufa tu. Huijui Dunia kijana.
Maprofesa wenyewe udsm pale washawahi kupaa na kuanguka na ungo. Kaulizie ukaoneshwe. Uchawi upoo na Utajiri wa mauzauza upo. Wapo watu mm nawajua walikufa pamoja na wote walitoa pumba mdomoni. Walikuwa matajiri wakubwa sana
Cc Bufa

🤣 🤣 🤣

Tupe link ya maprofesa wa UDSM waliopaa na ungo na kuanguka au habari ulitangaziwa mwenywe tu chumbani?

Hao matajiri unaowafahamu peke yako sio matajiri. Kina Mengi, Mufuruki, Shirima nk walipofariki nchi nzima ilisikia na sababu za umauti wao. Hao matajiri zako walitangazwa wapi? Hizo pumba uliona peke yako? Yani mtu afariki atoe pumba isiwe habari? Unauhakika gani hakujazwa ujinga kama mnaojazana hapa ale pumba ili apate utajiri ikawa ndo chazo cha kifo chake? Tupe uthibitisho.

Tatizo la story za ushirikina zote ni hearsay na kila mtu anajificha kwenye kichaka cha "namjua so and so" mnadhani sisi hatujatoka huko huko mitaani sio.
 
My momma called, seen you on TV, son
Said shit done changed ever since we was on
I dreamed it all ever since I was young
They said I wouldn't be nothing
Now they always say congratulations
Worked so hard, forgot how to vacation
They ain't never had the dedication
People hatin', say we changed and look, we made it
Yeah, we made it
 
Sitaki kuandika mengi, tutakwenda kwa lugha ya Picha tu, tuwe makini na watu, ukione Picha kama hizi usitamani haya maisha utapelekwa shimoni.

Nilikuwa na conversation ya kuboost biashara zangu na jamaa Fulani ambaye tumefahiana kama mwaka sasa, nikashauriwa nitambulishwe kwenye brotherhood, kwanza Mimi ukiniambia tu neno brotherhood moja kwa moja nakumbuka filamu ya Nigeria Billionaires club ya Pete Edochie na Madon wenzake.

Nina story ndefu na ya kweli ila nawashauri wote tupambane na umaskini tuvumilie shida zina mwisho Mungu atatufanyia wepesi, hawa jamaa mwisho wa siku huwa wanataka kafara ya damu.

Huyu nqe ni tajiri au ?! kwa hayo magari ya kizamani ya mtumba we bs utakua masikini sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata 50M bank huna kama hayi magari ya kizamani mitumba unamuona ni tajiri
 
Sitaki kuandika mengi, tutakwenda kwa lugha ya Picha tu, tuwe makini na watu, ukione Picha kama hizi usitamani haya maisha utapelekwa shimoni.

Nilikuwa na conversation ya kuboost biashara zangu na jamaa Fulani ambaye tumefahiana kama mwaka sasa, nikashauriwa nitambulishwe kwenye brotherhood, kwanza Mimi ukiniambia tu neno brotherhood moja kwa moja nakumbuka filamu ya Nigeria Billionaires club ya Pete Edochie na Madon wenzake.

Nina story ndefu na ya kweli ila nawashauri wote tupambane na umaskini tuvumilie shida zina mwisho Mungu atatufanyia wepesi, hawa jamaa mwisho wa siku huwa wanataka kafara ya damu.
tapeli tu huyo shukuru mungu kwamba ulikuwa unaenda kulizwa so amekuepusha vipi unavyoona hapo si vyake ni vya kukodi na show off ili kuvutia watu wa kuwapiga acha nikae tu kimya
 
Tumebadilisha sheria eti muwekazaji akipewa iwe ya kwake milele na hatolipa Kodi. So inabidi mwingine akija aibadilishe sheria kuwa mali inabidi iwe ya nchi.
Yaani afrika Ni laana. Huyu maza anataka kuichukua bandari kwa mgongo wa uwekezaji. Ni sawa na wazee wa Tanroad wanavyokuwaga na vitabu viwili vya tenda kwa mkandarasi.

Aisee napambana kila siku Mungu anisaidie Bora nikafie nchi za binadamu na sio hizi za manyani. Yaani maza akaonja utamu wa kuwa mkuu wa nchi so ameona anastaafu na kujimilikisha bandari. Hivi kweli watu wapo ASKARI,tiss, jwtz na wabunge na wananchi yaani mtu mmoja anaamua anavyojisikia Kweli watu wapo wanatetea matumbo yao tu ambayo kesho atapata njaa
 
Back
Top Bottom