Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wew hujui kitu mkuu siwez kuandika hapa Kila kitu. Wew ingia ofisin kula mshahara. Ongea kingereza Cha presentation subiri kufa tu. Huijui Dunia kijana.
Maprofesa wenyewe udsm pale washawahi kupaa na kuanguka na ungo. Kaulizie ukaoneshwe. Uchawi upoo na Utajiri wa mauzauza upo. Wapo watu mm nawajua walikufa pamoja na wote walitoa pumba mdomoni. Walikuwa matajiri wakubwa sana
Cc Bufa
Kwa wanaoamini Kila la kheri!
Sura ya huyo dogo haina nuru..huyo dogo pichani yuko Mwanza
Sitaki kuandika mengi, tutakwenda kwa lugha ya Picha tu, tuwe makini na watu, ukione Picha kama hizi usitamani haya maisha utapelekwa shimoni.
Nilikuwa na conversation ya kuboost biashara zangu na jamaa Fulani ambaye tumefahiana kama mwaka sasa, nikashauriwa nitambulishwe kwenye brotherhood, kwanza Mimi ukiniambia tu neno brotherhood moja kwa moja nakumbuka filamu ya Nigeria Billionaires club ya Pete Edochie na Madon wenzake.
Nina story ndefu na ya kweli ila nawashauri wote tupambane na umaskini tuvumilie shida zina mwisho Mungu atatufanyia wepesi, hawa jamaa mwisho wa siku huwa wanataka kafara ya damu.
Haibadili kua hii ni mada ya warembo,
This is Rubbish.
Af kuna wewe unaejenga miaka 6 nyumba ya chumba tatu na ukumbi na umahamia ikiwa haijachapiwaKuna wajinga wanajenga mijengo mikali kwa mwezi Mmoja tu
Kwaza atueleweshe brotherhood nini haswaWajinga nendeni PM mkaombe nafasi ya kujiunga na Ubrotherhood.
Mkuu, watandike.
Dah ww Jamaa unadharau sanaHuyu nqe ni tajiri au ?! kwa hayo magari ya kizamani ya mtumba we bs utakua masikini sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata 50M bank huna kama hayi magari ya kizamani mitumba unamuona ni tajiri
Umekula leo mchana? hizi illusion zitakupeleka pabaya kuvamia usiyemjuwa wala Mimi sikujuwi.Kama wewe ulivyomuua mkeo wa kwanza mama singu ili.upate utajiri! Shame on you
Mpwa katika ubora wako, umeadimika sana.bADO NASUBIR INOAH TULIYOHAIDIWA YA MAKANIKIA
napitatu
mpwa nilikuwa sudan nachagua yale matolleo pale muhimbiliMpwa katika ubora wako, umeadimika sana.
Kuokoka lazima.
tapeli tu huyo shukuru mungu kwamba ulikuwa unaenda kulizwa so amekuepusha vipi unavyoona hapo si vyake ni vya kukodi na show off ili kuvutia watu wa kuwapiga acha nikae tu kimyaSitaki kuandika mengi, tutakwenda kwa lugha ya Picha tu, tuwe makini na watu, ukione Picha kama hizi usitamani haya maisha utapelekwa shimoni.