Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
Kwa jinsi watu tunavyolia na uhaba wa maji, itakuwa kweli. Wizara ya Maji kuna swali lenu hukuNgoja waje
Kanunue kwa mangi dumu moja 10,000 na 2aisee mtaan maji hamna sina nguo safi sina maji ata ya kwenda kuogea
Mchanga ni maji pia unaweza kuogea na kufuliaaisee mtaan maji hamna sina nguo safi sina maji ata ya kwenda kuogea
TumefikaNgoja waje
Salaam Wakuu,
Kuna video itambea sasa hivi ikionesha kiwango cha maji kuwa chini sana kuliko kawaida! Nina imani hili limeshawafikia Wizara ya Maji, DAWASA, ukweli ni upi? Hii ndio hali halisi ya kina cha maji sasa?
Ni bora tukaambiwa ukweli ili tuwe na mkakati haraka wa jinsi ya kukabiliana na hali hii. Maana mtaani majibu ni yale yale lakini huduma inazidi kuzorota kadri siku zinavyoenda!
Unaweza shangaa akajibu kafulila atakwambia mendeleo na takwimu zake kama kawaida yake.Salaam Wakuu,
Kuna video itambea sasa hivi ikionesha kiwango cha maji kuwa chini sana kuliko kawaida! Nina imani hili limeshawafikia Wizara ya Maji, DAWASA, ukweli ni upi? Hii ndio hali halisi ya kina cha maji sasa?
Ni bora tukaambiwa ukweli ili tuwe na mkakati haraka wa jinsi ya kukabiliana na hali hii. Maana mtaani majibu ni yale yale lakini huduma inazidi kuzorota kadri siku zinavyoenda!
Salaam Wakuu,
Kuna video itambea sasa hivi ikionesha kiwango cha maji kuwa chini sana kuliko kawaida! Nina imani hili limeshawafikia Wizara ya Maji, DAWASA, ukweli ni upi? Hii ndio hali halisi ya kina cha maji sasa?
Ni bora tukaambiwa ukweli ili tuwe na mkakati haraka wa jinsi ya kukabiliana na hali hii. Maana mtaani majibu ni yale yale lakini huduma inazidi kuzorota kadri siku zinavyoenda!
Unakuta huyo mtu mmoja sio mmoja kama unavyomuona, unakuta ni syndicate ya watu hata 10 wakiwemo maafisa wa DAWASA, wanatengeneza tatizo la maji kwa makusudi(sababu hakuna ufuatiliaji) hili wapige hela kwa kuwauzia maji raia hapo mtaani.Wizara imeshashindwa kazi, kuna siku nimemtembelea jamaa mmoja huko dar, chamazi kama sikosei
Hakuna maji ya idara husika, mtu mmoja anauza maji kwa raia, msela akikosa umeme maji hakuna
Akichafukwa maji hakuna
Ni aibu kwa jiji kama la dar kukosa maji ya uhakika miaka yote tangu mkoloni kuachia nchi, na kuna bahari 🙄
Ngozi nyeusi tuna shida,
Tamaa
Ubinafsi
Labda kama ni kwa 'waheshimiwa' wenyewe, sehemu kibao hakuna maji, si Dar wala mikoa mingine, ni vilio tu... kuna kitu hakipo sawaInategemea unaishi wapi, kuna mahali maji yako kila leo, miaka nenda irudi