Ni kweli Harmonize anadaiwa Kodi Na Eng. Usiri

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu lem declare interest Kwamba mimi ni sehemu ya Eng. Usiri ambae Alikuwa ni Land Lord Wa Msanii Harmonize.

Msanii Hrmonize ni Kweli anadaiwa Kodi na Mjomba Yangu Wangu Eng. Usiri na Aliondoka Pale Mbezi Usiku Bila Kuaga na Mpaka Sasa Ajakabidhi Nyumba Ya Eng. Usiri.

Hata Wakili wake Amekuwa Hataki Kupokea any documents Ambayo inayohusiana na Rent dispute ya Mteja wake.
 

Attachments

  • jaymaudaku_1631810312694221.mp4
    6.2 MB
emu tupiamo na tupicha twa nyumba ya mjomba wako go!!!
(unisamehe mimi ni mjita)
 
Nendeni polisi au mahakamani.

Sasa mitandaoni mnatafuta nini, mabwana !!????
 
Sasa barua ya mwenzi wa nne wewe unaleta leo? Acha utimu mkuu anyway hayo hayakuhusu
 
Lakini umejiandaa kupambana na wamakonde humu ?? ..
 
Reactions: Qwy
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…