Ni kweli Harmonize anadaiwa Kodi Na Eng. Usiri

Wakuu lem declare interest Kwamba mm ni Sehemu ya Eng. Usiri ambae Alikuwa ni Land Lord Wa Msanii Harmonize.

Msanii harmonize ni Kweli anadaiwa Kodi na Mjomba Yangu Wangu Eng. Usiri na Aliondoka Pale Mbezi Usiku Bila Kuaga na Mpaka Sasa Ajakabidhi Nyumba Ya Eng. Usiri.

Hata Wakili wake Amekuwa Hataki Kupokea any documents Ambayo inayohusiana na Rent dispute ya Mteja wake.View attachment 1940747
Mbaya zaidi ameacha KY Jerry ambayo imebaki robo tu.

Kweli mmakonde chi ntu, ila mkitaka kulipwa muoneni Diamond anaweza akamlipia kijana wake wa zamani.
 
Wakuu lem declare interest Kwamba mm ni Sehemu ya Eng. Usiri ambae Alikuwa ni Land Lord Wa Msanii Harmonize.

Msanii harmonize ni Kweli anadaiwa Kodi na Mjomba Yangu Wangu Eng. Usiri na Aliondoka Pale Mbezi Usiku Bila Kuaga na Mpaka Sasa Ajakabidhi Nyumba Ya Eng. Usiri.

Hata Wakili wake Amekuwa Hataki Kupokea any documents Ambayo inayohusiana na Rent dispute ya Mteja wake.View attachment 1940747
Product ya old moshi!
 
Tafuta hela acha kuishi kwa mjomba UTAPAKATWA.
miezi kibao imepita wamelipana wee hujui
 
Wakuu lem declare interest Kwamba mm ni Sehemu ya Eng. Usiri ambae Alikuwa ni Land Lord Wa Msanii Harmonize.

Msanii harmonize ni Kweli anadaiwa Kodi na Mjomba Yangu Wangu Eng. Usiri na Aliondoka Pale Mbezi Usiku Bila Kuaga na Mpaka Sasa Ajakabidhi Nyumba Ya Eng. Usiri.

Hata Wakili wake Amekuwa Hataki Kupokea any documents Ambayo inayohusiana na Rent dispute ya Mteja wake.View attachment 1940747
Atawaambia mashabiki wake mwenye nyumba katumwa na WCB hiyo ndio namna yake ya kuficha matatizo yake... nao wakishaambiwa hivyo wanaingia huruma wanaanza kushambulia kama mafisi
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wasanii wengi bongo wana fake maisha
Na kwa maisha yao hayo wanajiumiza tu

Ova
 
Jambo moja hatufaham na hatujui wengi wetu ni kua WASANII WA APA TZ NJE YA CAMERA NI WANA HALI ZA KAWAIDA MNOO KAMA SIO NGUMU KABISAAA
Vanessa mdee hali hiyo ilimtesaga sana
Alijisemea ukweli

Ova
 
Back
Top Bottom