Ni kweli Harmonize anadaiwa Kodi Na Eng. Usiri

Yes Kumbe Unapajua
Naijua...kna apartments fulani za mgosi mmoja
Kna mwanangu mmj kapanga...
Hapo nishashudia ndundi sna mpk Getini 😂
Za h na s....
Naipata hiyo nyumba vzr

Ova
 
Naijua...kna apartments fulani za mgosi mmoja
Kna mwanangu mmj kapanga...
Hapo nishashudia ndundi sna mpk Getini [emoji23]
Za h na s....
Naipata hiyo nyumba vzr

Ova
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mstaarabu Sana Aiseeeh Sasa, ustaarabu was eng. Ndio Yule Dogo anautumia
Akae mezani azungumze kiume!
Sasa mpaka mnapelekana mbele
Ujue mtu kachoka sound

Ova
 
Duh..
inanikumbusha nilivyokuwaga napangishia watu kanyumba kangu, na bado kalikuwa na mortgage
Aisee, wapangaji wengine ni watakupa magonjwa ya moyo na unazeeka mapema...
Mmakonde aling'ata limnofu likubwa sasa anashindwa kutafuna....
 
Wakuu lem declare interest Kwamba mm ni Sehemu ya Eng. Usiri ambae Alikuwa ni Land Lord Wa Msanii Harmonize.

Msanii harmonize ni Kweli anadaiwa Kodi na Mjomba Yangu Wangu Eng. Usiri na Aliondoka Pale Mbezi Usiku Bila Kuaga na Mpaka Sasa Ajakabidhi Nyumba Ya Eng. Usiri.

Hata Wakili wake Amekuwa Hataki Kupokea any documents Ambayo inayohusiana na Rent dispute ya Mteja wake.View attachment 1940747
Huu mziki nauweza
Nauweza naujua na kucheza
 
Mtafuteni na mkimpata mvunjeni kikoba chake "kwampalange" na hiyo KY-jelly yake aliyoiacha chooni
 
Mzee umeona jamaa wamekuta yale mafuta pendwa mule ndani[emoji23][emoji23]

Ova
Inaelekea dogo akishakwega bangi kadhaa anawaza wapi pa kupakua kisanvu cha kopo, hilo si tatizo sana bali ujinga wa kutoka vijijini na kushindwa kuelimika kuhusu hygiene yaani hata ku flush vyoo tu wanaona shida. Inajulikana wamekulia kwenye vyoo vya shimo lakini wanajisahau vipi kama wako town, kinyaa sana.
 
Kwa Hyo Sarah alikuwaga anafumiliwa Linda [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Italians huo mchezo wanaupenda sana, ina maana pale channel O iko wazi kama kishimo cha golf.
 
Inaelekea dogo akishakwega bangi kadhaa anawaza wapi pa kupakua kisanvu cha kopo, hilo si tatizo sana bali ujinga wa kutoka vijijini na kushindwa kuelimika kuhusu hygiene yaani hata ku flush vyoo tu wanaona shida. Inajulikana wamekulia kwenye vyoo vya shimo lakini wanajisahau vipi kama wako town, kinyaa sana.
Hahaha

Ova
 
Mzee wa watu mstaarabu sana masikini. Harmonize alivyohamia alikua anajidai sana akipita mtaani anashusha vioo mumuone [emoji23][emoji23][emoji23] akifika kwenye bodaboda anasalimia na kusalimia. Ila watu tulijua tu yeye sio mlipa kodi.
Harmonize anaonekana mchafu chafu ndio maana hata wameacha mauchafu yao vyooni..
 
Mvuta bangi na usafi wapi na wapi mkuu?
 
Mzee wa watu mstaarabu sana masikini. Harmonize alivyohamia alikua anajidai sana akipita mtaani anashusha vioo mumuone [emoji23][emoji23][emoji23] akifika kwenye bodaboda anasalimia na kusalimia. Ila watu tulijua tu yeye sio mlipa kodi.
Harmonize anaonekana mchafu chafu ndio maana hata wameacha mauchafu yao vyooni..
Kilichonisikitisha n uchafu tyuuh wa pale ktk nyumba. Mmmmh.
 
Back
Top Bottom