mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Mln 150 mnadai parefuHajalipa Na Kesho Tunaenda Kufile Kesi Baraza La Ardhi na Nyumba Kinondoni
Yeye si anamahela alipe sasa
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mln 150 mnadai parefuHajalipa Na Kesho Tunaenda Kufile Kesi Baraza La Ardhi na Nyumba Kinondoni
Mnamdai bei gani na anasema kwanini halipi?Hajalipa Na Kesho Tunaenda Kufile Kesi Baraza La Ardhi na Nyumba Kinondoni
Hyo Ni pamoja na Uharibifu, mpaka Sasa Hjakabidhi Nyumba Apart ya Kuandikiwa Demand Notice amekuwa Wala Hajibu Chochote, hata Wakili Wake Mwenyewe Hawana MawasilianoMln 150 mnadai parefu
Yeye si anamahela alipe sasa
Ova
M.150, anadai Sarah Ndio Alikuwa analipa Kodi Lakini Eng. Usiri Ana Lease Contract na Harmonize Na Sio SarahMnamdai bei gani na anasema kwanini halipi?
Ukiwapangisha wasanii wa kibongo nyumba yako,hesabu maumivuM.150, anadai Sarah Ndio Alikuwa analipa Kodi Lakini Eng. Usiri Ana Lease Contract na Harmonize Na Sio Sarah
Hapa sio mahara pake,mambo ya madai nendeni mahakamani,sasa kuweka na picha ya huyo mwanamke,ndio unataka ufikishe ujumbe gani?Wakuu lem declare interest Kwamba mm ni Sehemu ya Eng. Usiri ambae Alikuwa ni Land Lord Wa Msanii Harmonize.
Msanii harmonize ni Kweli anadaiwa Kodi na Mjomba Yangu Wangu Eng. Usiri na Aliondoka Pale Mbezi Usiku Bila Kuaga na Mpaka Sasa Ajakabidhi Nyumba Ya Eng. Usiri.
Hata Wakili wake Amekuwa Hataki Kupokea any documents Ambayo inayohusiana na Rent dispute ya Mteja wake.View attachment 1940747
Nimeona clip naona mpaka chooni watu hawaja flash m.@kimba yaoHyo Ni pamoja na Uharibifu, mpaka Sasa Hjakabidhi Nyumba Apart ya Kuandikiwa Demand Notice amekuwa Wala Hajibu Chochote, hata Wakili Wake Mwenyewe Hawana Mawasiliano
Punguza Ufala, Sio Lazima Ucomment bwege WwHapa sio mahara pake,mambo ya madai nendeni mahakamani,sasa kuweka na picha ya huyo mwanamke,ndio unataka ufikishe ujumbe gani?
Na mbona umechapia sana kwenye maandishi yako,unatumia smart kitochi?
Jamaa ameharibu Sana Nyumba, Milango Pia Imeharibik, Yule Jamaa Ustaarabu Zero KabisaNimeona clip naona mpaka chooni watu hawaja flash m.@kimba yao
Ova
Kumbe ni ile waliyokua wanaishi na mzungu.M.150, anadai Sarah Ndio Alikuwa analipa Kodi Lakini Eng. Usiri Ana Lease Contract na Harmonize Na Sio Sarah
Ni Baraza Na Sio Mahakamani MkuuKumbe ni ile waliyokua wanaishi na mzungu.
Ngoja tuone huko mahakamani.
Basi sawaNi Baraza Na Sio Mahakamani Mkuu
Ana Kiburi Sana. Hela Ya Kulipa Hana ni Ubishoo Tu Wa KijingaAlipe tu
Ndiyo hyo nymba iko mbezi beach,Juliana unaingilia pale kwenye kiwanja mch rwaka kuelekea hukoJamaa ameharibu Sana Nyumba, Milango Pia Imeharibik, Yule Jamaa Ustaarabu Zero Kabisa
Yes Kumbe UnapajuaNdiyo hyo nymba iko mbezi beach,Juliana unaingilia pale kwenye kiwanja mch rwaka kuelekea huko
Ova
Akubali kuwa mstaarabu aombe hata msaadaAna Kiburi Sana. Hela Ya Kulipa Hana ni Ubishoo Tu Wa Kijinga
Eng. Usiri amekuwa akimtafuta Sana Lakini Jamaa halitaki Kukutana na Eng. Basically Ile Kodi Ya Mwanzo Allipa Sarah Maana Jamaa Mkwanja HanaAkubali kuwa mstaarabu aombe hata msaada