Ni kweli Harmonize anadaiwa Kodi Na Eng. Usiri

Mln 150 mnadai parefu
Yeye si anamahela alipe sasa

Ova
Hyo Ni pamoja na Uharibifu, mpaka Sasa Hjakabidhi Nyumba Apart ya Kuandikiwa Demand Notice amekuwa Wala Hajibu Chochote, hata Wakili Wake Mwenyewe Hawana Mawasiliano
 
Hapa sio mahara pake,mambo ya madai nendeni mahakamani,sasa kuweka na picha ya huyo mwanamke,ndio unataka ufikishe ujumbe gani?
Na mbona umechapia sana kwenye maandishi yako,unatumia smart kitochi?
 
Hyo Ni pamoja na Uharibifu, mpaka Sasa Hjakabidhi Nyumba Apart ya Kuandikiwa Demand Notice amekuwa Wala Hajibu Chochote, hata Wakili Wake Mwenyewe Hawana Mawasiliano
Nimeona clip naona mpaka chooni watu hawaja flash m.@kimba yao

Ova
 
Hapa sio mahara pake,mambo ya madai nendeni mahakamani,sasa kuweka na picha ya huyo mwanamke,ndio unataka ufikishe ujumbe gani?
Na mbona umechapia sana kwenye maandishi yako,unatumia smart kitochi?
Punguza Ufala, Sio Lazima Ucomment bwege Ww
 
Jamaa ameharibu Sana Nyumba, Milango Pia Imeharibik, Yule Jamaa Ustaarabu Zero Kabisa
Ndiyo hyo nymba iko mbezi beach,Juliana unaingilia pale kwenye kiwanja mch rwaka kuelekea huko

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…