Ni kweli hela ya mwanamke haihesabiki kwenye bajeti ya familia?

Ni kweli hela ya mwanamke haihesabiki kwenye bajeti ya familia?

ibby

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2017
Posts
415
Reaction score
585
The guy ask me.. If ur wife got 1000 and u have 1000 wat could be the total!? 1000+1000=1000 nika mwambia hapana how come?? Mdau kapatia au kakosea!?
 
Pesa ya mkeo sio yako. Jibu ni 1000
 
Sio wote, Kuna wanawake sio wabinafsi kila pesa yake anashea na familia na mambo yanaenda sawa sawia
 
Back
Top Bottom