Mbona sijaona shida ya hayo maswali?Nyie endeleeni kumsikiliza Taperi Gwajima, suala la expire date haliwahusu misukule ya Gwajima
Na nyie misukule ya nani ndo hamwezi hata kuhoji? Hii ndo tafsiri halisi ya Misukule au ndondocha hai hoji. Wanao hoji ndo wenye akili.Nyie endeleeni kumsikiliza Taperi Gwajima, suala la expire date haliwahusu misukule ya Gwajima
Mbona kama una hasira sana na Gwajima? Ndo wewe ulikuwa kwenye ile video iliyo leak? Tuliza hasira....haya mambo hayataki hasira.....😂😂😂😂😂😂Mi nawasikiliza wataalamu wa afya, sio huyo mchungaji shoga
hizo taarifa kuhusu j j ndio zinatakiwa kujulikanaSijui kuhusu hizo za J&J, ila kwa AstraZeneca, zinahitaji mazingira flani ya hali joto. Na zimewekewa ka sensor kanatuma info muda wote kuhusu temperature, kana record baadae zinahamishiwa kwa computer.
Na vinakaa vichupa 10, ili kufungua hako lazima kuwe na idadi ya watu kumi vinginevyo vinavyobaki ni hasara.
Hii inamaana ni muhimu sana kuzingatia expire date na mazingira zinapotunzwa hizo chanjo.
Sina six months shelf lifeNi kweli hizi chanjo zilizo letwa wiki tatu zilizopita hazina muda wa kuharibika?
Kati ya mambo ambayo yamewashinda kabisa wizara ya afya kwenye hili chanjo ya COVID ni kuweza kutoa elimu sahihi kwa wanchi kuhusu hii chanjo na katika hili wizara imekuwa ikikimbia maswali ya watu kwa kudhani kila anayeuliza maswali basi anapinga chanjo...
Ni kweli hizi chanjo zilizo letwa wiki tatu zilizopita hazina muda wa kuharibika?
Kati ya mambo ambayo yamewashinda kabisa wizara ya afya kwenye hili chanjo ya COVID ni kuweza kutoa elimu sahihi kwa wanchi kuhusu hii chanjo na katika hili wizara imekuwa ikikimbia maswali ya watu kwa kudhani kila anayeuliza maswali basi anapinga chanjo...
Hilo ndilo jibu sahihi. Kwa nyongeza maisha ya chanjo ni muda ambao chanjo inadumusha uwezo wake na uthabiti katika halijoto iliyopewa kulinda ufanisi wake. Swali, je, mazingira ya utunzaji hapa nchini unakidhi mahitaji hayo?Pia chanjo zinabidi kuwekwa ktk mazingira fulani ambayo hayazifanyi ziharibike. Yaani kama ni joto lisizidi kiwango fulani au kama ni ubaridi usipungue kwa kiasi fulani. Vipi hayo yote yanazingatiwa au zimewekwa kama dozi tu za "kwinini"?
Wao maisha ya wananchi hayana maana kwao,muhimu ni chanjo ziishe ionekane zoezi limefanikiwa.Pia chanjo zinabidi kuwekwa ktk mazingira fulani ambayo hayazifanyi ziharibike. Yaani kama ni joto lisizidi kiwango fulani au kama ni ubaridi usipungue kwa kiasi fulani. Vipi hayo yote yanazingatiwa au zimewekwa kama dozi tu za "kwinini"?
Tuwekee hapa hizo details vinginevyo utakuwa unapiga porojo tuSina six months shelf life
ukichukua box ukaliscan inakupa every detail
technology imekua
Gwajima atabaki kufokafoka na kupandisha degedege
NduguTuwekee hapa hizo details vinginevyo utakuwa unapiga porojo tu
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Na sababu ya kuchagua J & J inavyoelezewa utunzaji wake ni jokovu za kawaida hivyo kwa kiasi inaendana na hali ya hewa ya Tanzania. Kuna nyingine zinahitaji friji maalum.Sijui kuhusu hizo za J&J, ila kwa AstraZeneca, zinahitaji mazingira flani ya hali joto. Na zimewekewa ka sensor kanatuma info muda wote kuhusu temperature, kana record baadae zinahamishiwa kwa computer...