#COVID19 Ni kweli hizi chanjo milioni moja hazina muda wa kuharibika (expiry date) hata ikifika mwakani? Kwanini hili suala haliwekwi wazi?

#COVID19 Ni kweli hizi chanjo milioni moja hazina muda wa kuharibika (expiry date) hata ikifika mwakani? Kwanini hili suala haliwekwi wazi?

Matunzo ya hizi chanjo kwa kuzingatia muda wake wa matumizi ni kati ya sababu zilizopelekea chanjo za Mordena na J Johnson kukataliwa kwenye nchi moja ya EU... Sitaitaja hapa. Swali lako ni la msingi kabisa ila sidhani kama litajibiwa.... Usanii umeshika hatamu.
 
Mi nawasikiliza wataalamu wa afya, sio huyo mchungaji shoga
Mbona kama una hasira sana na Gwajima? Ndo wewe ulikuwa kwenye ile video iliyo leak? Tuliza hasira....haya mambo hayataki hasira.....😂😂😂😂😂😂
 
Sijui kuhusu hizo za J&J, ila kwa AstraZeneca, zinahitaji mazingira flani ya hali joto. Na zimewekewa ka sensor kanatuma info muda wote kuhusu temperature, kana record baadae zinahamishiwa kwa computer.

Na vinakaa vichupa 10, ili kufungua hako lazima kuwe na idadi ya watu kumi vinginevyo vinavyobaki ni hasara.

Hii inamaana ni muhimu sana kuzingatia expire date na mazingira zinapotunzwa hizo chanjo.
hizo taarifa kuhusu j j ndio zinatakiwa kujulikana
 
Ni kweli hizi chanjo zilizo letwa wiki tatu zilizopita hazina muda wa kuharibika?

Kati ya mambo ambayo yamewashinda kabisa wizara ya afya kwenye hili chanjo ya COVID ni kuweza kutoa elimu sahihi kwa wanchi kuhusu hii chanjo na katika hili wizara imekuwa ikikimbia maswali ya watu kwa kudhani kila anayeuliza maswali basi anapinga chanjo...
Sina six months shelf life

ukichukua box ukaliscan inakupa every detail

technology imekua

Gwajima atabaki kufokafoka na kupandisha degedege
 
Ni kweli hizi chanjo zilizo letwa wiki tatu zilizopita hazina muda wa kuharibika?

Kati ya mambo ambayo yamewashinda kabisa wizara ya afya kwenye hili chanjo ya COVID ni kuweza kutoa elimu sahihi kwa wanchi kuhusu hii chanjo na katika hili wizara imekuwa ikikimbia maswali ya watu kwa kudhani kila anayeuliza maswali basi anapinga chanjo...

Kama dawa nyingine utafika muda hizo dawa zita expire.
 
Pia chanjo zinabidi kuwekwa ktk mazingira fulani ambayo hayazifanyi ziharibike. Yaani kama ni joto lisizidi kiwango fulani au kama ni ubaridi usipungue kwa kiasi fulani. Vipi hayo yote yanazingatiwa au zimewekwa kama dozi tu za "kwinini"?
Hilo ndilo jibu sahihi. Kwa nyongeza maisha ya chanjo ni muda ambao chanjo inadumusha uwezo wake na uthabiti katika halijoto iliyopewa kulinda ufanisi wake. Swali, je, mazingira ya utunzaji hapa nchini unakidhi mahitaji hayo?
 
Gwajima kasema hii chanjo ni simu yenye ukubwa wa Nanometer. Kuna simu ya mwaka 2003 inashika charge bado.
 
Pia chanjo zinabidi kuwekwa ktk mazingira fulani ambayo hayazifanyi ziharibike. Yaani kama ni joto lisizidi kiwango fulani au kama ni ubaridi usipungue kwa kiasi fulani. Vipi hayo yote yanazingatiwa au zimewekwa kama dozi tu za "kwinini"?
Wao maisha ya wananchi hayana maana kwao,muhimu ni chanjo ziishe ionekane zoezi limefanikiwa.

Ndo maana hawawezi kuripoti hata mtu mmoja aliyepatwa madhara kwa hofu watu wataogopa kuchanjwa.
Kama mpaka yule daktari aliyeweweseka huku akitaka kuanguka waliomba habari zake zifichwe,vipi mwananchi wa kawaida akifa ghafla ndo watamtangaza?

Umaskini wa fikra ni mbaya kuliko hata umaskini wa kipato.
 
Tuwekee hapa hizo details vinginevyo utakuwa unapiga porojo tu

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ndugu

chukua box lile Lina qr scanner it takes you all the way to product profile, we received just one batch - so sisi tulio Dodoma tumetumia camera ya kawaida kuscan QR code na inakupa majibu

8872313C-DC07-4F43-895D-46208F180C5A.jpeg
 
Sijui kuhusu hizo za J&J, ila kwa AstraZeneca, zinahitaji mazingira flani ya hali joto. Na zimewekewa ka sensor kanatuma info muda wote kuhusu temperature, kana record baadae zinahamishiwa kwa computer...
Na sababu ya kuchagua J & J inavyoelezewa utunzaji wake ni jokovu za kawaida hivyo kwa kiasi inaendana na hali ya hewa ya Tanzania. Kuna nyingine zinahitaji friji maalum.

Lakini pia Dr Gwajima - Waziri watoe elimu ya kutosha - maana ni muhimu sana tena sana mtu kupima COVID kabla ya kupata chanjo. Kwa kupunguza gharama wanakwepa kupima watu na matokeo yake ni mabaya ukiwa na C-19 halafu ukachanjwa.
 
Back
Top Bottom