King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Chanjo ni hiari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili ya mafii ya kuku hii ndiyo maana mafisadi kutoka ccm yakija chadema mnayatakasa ,mm sichagui chama nachagua mtu na ccm bila ya magufuli ni mafii kabisaCCM haijawahi kuipa Tanzania serikali.CCM ni kikundi cha kigaidi.Mimi adui yangu ni CCM wala siyo kiongozi fulani ndani ya CCM.Magufuli nilimpiga vita kwa sababu ni CCM na pia Samia nampiga vita kwa sababu ni CCM.CCM haijawahi kuwa na nia ya dhati na nchi hii.
Mkuu mengine waweza kuwa una hoja. Ila swala la kula hela na mishahara hao wakenya hatuwezi wafikia. Na by the way hiyo Kasi ya takwimu Ina lengo lake. More money more loans. More donations.Kule Kenya kuna Chief secretary of Health Mugai kila siku anaita waandishi wa habari anatangaza hali ya maambukizi idadi ya watu, watu waliopona, maendeleo ya ugawaji chanjo...
Anayeuliza kamata wapi hizi taarifa?Mkuu swali linasema hizi chanjo zina muda wa kuisha matumizi?
Gwajima kaweka hoja zake mezani za kupinga chanjo. Na alisema, kama kuna anapinga hoja zake,ajitokeze hadharani ili wafanye mdahalo, hakuna aliyejitokeza, si Serikali wala mtu binafsi.Nyie endeleeni kumsikiliza Taperi Gwajima, suala la expire date haliwahusu misukule ya Gwajima