#COVID19 Ni kweli hizi chanjo milioni moja hazina muda wa kuharibika (expiry date) hata ikifika mwakani? Kwanini hili suala haliwekwi wazi?

#COVID19 Ni kweli hizi chanjo milioni moja hazina muda wa kuharibika (expiry date) hata ikifika mwakani? Kwanini hili suala haliwekwi wazi?

CCM haijawahi kuipa Tanzania serikali.CCM ni kikundi cha kigaidi.Mimi adui yangu ni CCM wala siyo kiongozi fulani ndani ya CCM.Magufuli nilimpiga vita kwa sababu ni CCM na pia Samia nampiga vita kwa sababu ni CCM.CCM haijawahi kuwa na nia ya dhati na nchi hii.
Akili ya mafii ya kuku hii ndiyo maana mafisadi kutoka ccm yakija chadema mnayatakasa ,mm sichagui chama nachagua mtu na ccm bila ya magufuli ni mafii kabisa
 
Kule Kenya kuna Chief secretary of Health Mugai kila siku anaita waandishi wa habari anatangaza hali ya maambukizi idadi ya watu, watu waliopona, maendeleo ya ugawaji chanjo...
Mkuu mengine waweza kuwa una hoja. Ila swala la kula hela na mishahara hao wakenya hatuwezi wafikia. Na by the way hiyo Kasi ya takwimu Ina lengo lake. More money more loans. More donations.
 
Unprejudice kenya hata walimu wanalipwa vizuri yote inatikana na uelewa wa wananchi sisi kwetu hapa ukimuuliza mfanyakazi au hata Labour officer mara ya mwisho ameona Salary survey iwe imetoka serikalini au hata kwa Audit assurance firms hawezi kukupa jibu au atakueleza ndio kitu gani hicho.

Masuala ya mishahara nchi hii huwa hayazungumzwi popote na yoyote watu hawako concerned kabisa. Wafanyakazi wananyonywa sana viwandani na sekta binafsi lakini huwezi kusikia mbunge kaongelea wala waziri zaidi ya story tuu.
 
Bado hazijaisha tu? Si tunaambiwa mwitikio ni mkubwa mno baada ya makundi yote kutaarifiwa kwenda kuchanja.
 
Johnson & Johnson wamesitisha kuleta chanjo ya majaribio Africa, tuwaombe warusi basi watusaidie!
 
Nyie endeleeni kumsikiliza Taperi Gwajima, suala la expire date haliwahusu misukule ya Gwajima
Gwajima kaweka hoja zake mezani za kupinga chanjo. Na alisema, kama kuna anapinga hoja zake,ajitokeze hadharani ili wafanye mdahalo, hakuna aliyejitokeza, si Serikali wala mtu binafsi.

Wananchi wameamua kumpa ushindi Gwajima,kwani hajapata mpinzani.
 
Back
Top Bottom