Ni kweli Idris na Wema Sepetu wameachana?

ile nyumba ya knyama alisema kanunua milioni 400,akaja vaa shela eti kafunga ndoa,now mimba mhuuuum time will tell
 
Kama nilishindwa mimi kumpa mimba wema basi andikieni maumivu tu kwa wengine hakuna mimba.
 
Maskini Wema hii damu ya kunguni kaipata wapi? Ni nani kamfanyia jambo baya kama hili?
Kuna kitu aliandika kuhusu kutopata mtoto aliandika kwa hisia mno na nilimhurumia saana anahitaji faraja zetu sote kama binadamu yoyote yule mapungufu yake tumuachie mwenyewe nobody is perfect
 
Ha ha ha nacheka team wema wanavohaha huko bize kumuuliza wema awaambie ukweli et "tutakua wageni wa nani sisi" ha ha ha wabongo uwiiiiii
Haaahaa nimecheka uwiiiiiiiii, watakuwa wageni wa nani how? Jamani wabongo mmenichosha na vituko vyenu
 
NDIO WAMEACHANA...!
Maana haakuna namna hawa watoto kibwege bwege tu wanamzidi umaarufu waziri wangu wa habari kisa mimba aseeee kila ukitingishika Wema,ukitaka kupiga funda la tusker mimba ya Wema imekaa upande ningekua na uwezo ninge foward siku azae tuanze chapter mpya ya kumjadili mtoto aaaggghrrrr pumbavu zetu,kweli Wema k*****ko...!
 
Hongereni sana kwa ujasiri mlio nao kuwafuatilia watu hao.
 
Watakuwa wanatafuta kick kwa ajili ya tamasha la Valentine aliloliandaa Wema.

Hapa wanavuta attention ya mashabiki tu, na ninadhani hao wanaosambaza hizo taarifa wamelipwa.
Haswaaaaa wanataka watu waende kwa wingi kuhakiki kama kweli madam kitu kimetoka japo sijawahi ona mimba chini ya miezi mitano au sita ikawa kubwa chini badala ya juu ya kitovu.
 
Hii mimba ya huyo binti imezua mambo kwa kweli.

Mara ipo....mara inapotea...hujakaa sawa imerudi tena....umejisahau kidogo unasikia imetoweka tena!

Ni mimba ya kipekee sana hiyo.
Kuna kipindi hata Zari nae alipokua akija bongo tumbo flaaat ila akiwa sauzi mtumbo huo sijui na huyu amekumbwa na ugonjwa huo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…