Sina budi kucheka kwakweli.... [emoji23] [emoji23]Hii mimba ya huyo binti imezua mambo kwa kweli.
Mara ipo....mara inapotea...hujakaa sawa imerudi tena....umejisahau kidogo unasikia imetoweka tena!
Ni mimba ya kipekee sana hiyo.
Wacha nikuquote kwa mara ya kwanza...Ha ha ha ha ha kwahiyo jecha kafuta mimba
Sina budi kucheka kwakweli.... [emoji23] [emoji23]
Uongo banaWe mwanamke una hatari ile hakuna
Mi nilijua tu pale hakuna kitu ila nilikuwa nasubiria cku tu zisonge
Mrekebisha tabia huwa anajifanya team wema,leo kakosea badala kupost kwenye fekero account kaiweka kwenye account yake kaumbuka,teh team wema wanaumbuana tu huko....Tembelea na page ya mrekebishatabia uone naye alivyotapika mijineno
Wema hana abadu kabisa, kwenye interview na Diva wa clouds akamwita demu wa zamani wa Idrisa a baggage. Ikabidi idrisa aje juu na kutaka neno hilo liondolewe ili kulinda heshima ya demu wake wa zamani. Kiunyonge Wema aka-withdraw, lakini hata baada ya hapo ukimwangalia Idrisa anaonekana kama vile ali-mind. Ndo mastaa wetu wa Kibyongo walivyo.Kuna kitu kinaendelea Insta na ni dalili kuwa Idris Sultani na Wema Sepetu wamebwagana Baada ya Idris kugundua hamna Cha kijachoo!
Nimeona Nay wa mitego kapost na Soudy naye akarepost alicho post Nay!
ukipita katika Account ya Idris Insta utaona maneno ayao andika ni kama kuna kibutiii kimetembea!
Nashangaa ile kukiss hadharani na Mapenzi hadharani yamekwishaa?? Duuu hii bongo bana ni kutafutiana Kick! pamoja na Majina ya Dr.Mwaka, Baba kijacho!
Ulipaliwa na nini dada yangu?wapo ma character unaweza usiwaone penye episodes kama 3 kisha unawaona tena so inawezekana kitu kama hicho .
Hata kama Kiki ndo ajisingizie ujawepesi kweli na hajawahi walau kuwa na mtoto huyu mwanamke wa ajabu sana.Watakuwa wanatafuta kick kwa ajili ya tamasha la Valentine aliloliandaa Wema.
Hapa wanavuta attention ya mashabiki tu, na ninadhani hao wanaosambaza hizo taarifa wamelipwa.
Ww umenena hakuna mkamilifu chini ya juaMaskini Wema hii damu ya kunguni kaipata wapi? Ni nani kamfanyia jambo baya kama hili?
Kuna kitu aliandika kuhusu kutopata mtoto aliandika kwa hisia mno na nilimhurumia saana anahitaji faraja zetu sote kama binadamu yoyote yule mapungufu yake tumuachie mwenyewe nobody is perfect
mimi hapaHa ha ha ha ha ha ha who is next!!! Ngoja tuone movie kama sio zamu ya kingwendu kuwa na wema sijui tu
Mwenyewe nimemshangaa tena amepost two timesMrekebisha tabia huwa anajifanya team wema,leo kakosea badala kupost kwenye fekero account kaiweka kwenye account yake kaumbuka,teh team wema wanaumbuana tu huko....
HahahahahaaaaaHii mimba ya huyo binti imezua mambo kwa kweli.
Mara ipo....mara inapotea...hujakaa sawa imerudi tena....umejisahau kidogo unasikia imetoweka tena!
Ni mimba ya kipekee sana hiyo.
Ha ha ha eti Idris sio Dr mwaka tena ni DR MANYAUNYAU 😀😀
Huyu mrekebisha ni mnafiki sana,wacha wamshambulie....Mwenyewe nimemshangaa tena amepost two times
Ubuyu mpya kwa Mrs arsene wenger lolHuyu mrekebisha ni mnafiki sana,wacha wamshambulie....
Inasemekana wema kafumaniwa akila maraha na petitman wakuache, ambae huwa anasema mtoto wake mmmh sasa wema na petit si mama na mwana mbona wanakulana kama kuku
Idris nae amemind nini wakati ye mwenyewe alimkwapua rafiki ake luismunana
Ubuyu ni mwingi hadi nachoka
Nifah warumi My hubby danya @m.s Lincoln Madame B brenda18
View attachment 323042