AiseeeeInasemekana wema kafumaniwa akila maraha na petitman wakuache, ambae huwa anasema mtoto wake mmmh sasa wema na petit si mama na mwana mbona wanakulana kama kuku
Idris nae amemind nini wakati ye mwenyewe alimkwapua rafiki ake luismunana
Ubuyu ni mwingi hadi nachoka
Nifah warumi My hubby danya @m.s Lincoln Madame B brenda18
View attachment 323042
Khaaaaa... Yaani Huku Pamekaa kikike kike sana. Kwahiyo Petit man nae alikua anaongezea njia kidogo...Ha ha ha ha haaaaa... Kweli Mwafrica muachie pesa atafikisha lakini sio mke.. Dah.. Dogo kala mzigo ule kimasihara masihara..!! Naomba nikuulize Madam Evelyn hivi Ubuyu means umbea???Inasemekana wema kafumaniwa akila maraha na petitman wakuache, ambae huwa anasema mtoto wake mmmh sasa wema na petit si mama na mwana mbona wanakulana kama kuku
Idris nae amemind nini wakati ye mwenyewe alimkwapua rafiki ake luismunana
Ubuyu ni mwingi hadi nachoka
Nifah warumi My hubby danya @m.s Lincoln Madame B brenda18
View attachment 323042
Siku usipojipanga alipodeclare yeye ni team Wema sikusubiri ku unfollow nlimpa neno moja dogo tu akaniblock.Huyu mrekebisha ni mnafiki sana,wacha wamshambulie....
Teh,Valentine hii wala siboreki walahi....Ubuyu mpya kwa Mrs arsene wenger lol
Usipojipanga alishaumbuliwa si ndio grace,mi aliniblok kitambo,huyo ni team wema kumtumia jina lake tu ili afanye matangazoSiku usipojipanga alipodeclare yeye ni team Wema sikusubiri ku unfollow nlimpa neno moja dogo tu akaniblock.
Sijutii kabsa
Page zao za kinafiki
Ila mrekebishaji kanikunaaaa
Eti kike teh ubuyu hauna jinsia.....Khaaaaa... Yaani Huku Pamekaa kikike kike sana. Kwahiyo Petit man nae alikua anaongezea njia kidogo...Ha ha ha ha haaaaa... Kweli Mwafrica muachie pesa atafikisha lakini sio mke.. Dah.. Dogo kala mzigo ule kimasihara masihara..!! Naomba nikuulize Madam Evelyn hivi Ubuyu means umbea???
ziko wapHizi ndo post za Idriss leo!
Hahahaa walahi wema aliemroga kafa....wema k***a ny*ko in lemis voiceInasemekana wema kafumaniwa akila maraha na petitman wakuache, ambae huwa anasema mtoto wake mmmh sasa wema na petit si mama na mwana mbona wanakulana kama kuku
Idris nae amemind nini wakati ye mwenyewe alimkwapua rafiki ake luismunana
Ubuyu ni mwingi hadi nachoka
Nifah warumi My hubby danya @m.s Lincoln Madame B brenda18
View attachment 323042
Uuuuwiiii doctor susan [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]Ubuyu mpya kwa Mrs arsene wenger lol
Grace yupii?Usipojipanga alishaumbuliwa si ndio grace,mi aliniblok kitambo,huyo ni team wema kumtumia jina lake tu ili afanye matangazo
Katika team wema wanaojitambua chichi ni mmoja wapo, mstaarabu sana ila hawa wengine mmh
Hahaah anaitwa grace ana kisaluni....malikia wa Insta ni kituko walahi siku hizi kahama insta maana jumalokole alimwandama mpaka basi.... Malkia wa Insta hapana kwakweli tehGrace yupii?
Jamani yule winnie ndio malkia wa insta wala asibishe.
Anauza mafuta ya mkorogo kuna kiduka anaweka mafuta yake.ukimwona utacheka.
Naomba unipe jina analotumia insta huyo GraceHahaah anaitwa grace ana kisaluni....malikia wa Insta ni kituko walahi siku hizi kahama insta maana jumalokole alimwandama mpaka basi.... Malkia wa Insta hapana kwakweli teh
Hivi petit si kampa mimba yule mtu mfupi ka kikombe cha kahawa muna love hapo hapo anamtafuna na mami wake,khaaa nipo kushangaa badoInasemekana wema kafumaniwa akila maraha na petitman wakuache, ambae huwa anasema mtoto wake mmmh sasa wema na petit si mama na mwana mbona wanakulana kama kuku
Idris nae amemind nini wakati ye mwenyewe alimkwapua rafiki ake luismunana
Ubuyu ni mwingi hadi nachoka
Nifah warumi My hubby danya @m.s Lincoln Madame B brenda18
View attachment 323042
Usiamini huu umbeya.Mrs arsene wenger ni team Dai so lazima atunge habari ili awaumize team MisukuleHivi petit si kampa mimba yule mtu mfupi ka kikombe cha kahawa muna love hapo hapo anamtafuna na mami wake,khaaa nipo kushangaa bado
Uwiiiiiii nimejisikiaje aibu mimi?Inasemekana wema kafumaniwa akila maraha na petitman wakuache, ambae huwa anasema mtoto wake mmmh sasa wema na petit si mama na mwana mbona wanakulana kama kuku
Idris nae amemind nini wakati ye mwenyewe alimkwapua rafiki ake luismunana
Ubuyu ni mwingi hadi nachoka
Nifah warumi My hubby danya @m.s Lincoln Madame B brenda18
View attachment 323042
mpendwa kilimo cha matikiti unakielewa tupeane uzoefu?? hasa kwenye namna ya kuyalima na madawamfupa uliowashinda mafisi yeye asingeuweza bora hela zake za bba angeanzisha kilimo cha matikiti kuliko kuhonga gumegume
Grace sarakikya kitu ka hicho,alishadelete hio account kama sijakoseaNaomba unipe jina analotumia insta huyo Grace
Leo Mrekebishaji kagus watu.
Wamemnyea ila ukweli mtupu.
Dont catch feelingsUwiiiiiii nimejisikiaje aibu mimi?
Ujue suala la Wema kuliwa na Petit Man lipo tokea kitambo ndio maana hawana maelewano mazuri na Diamond na hata Diamond kususia harusi yake na dada yake chanzo ni hicho.
Sasa nilidhani kaacha huo upumbavu baada ya kumpata Idris kumbe bado tu?
Kama hili ni kweli basi Wema is done,hatokaa ampate mwanaume kama Idris.
Sijui wenzetu wanawashwaga na nini!
Hahahahaaa umenikumbusha malkia wa Insta na msura wake...lolHahaah anaitwa grace ana kisaluni....malikia wa Insta ni kituko walahi siku hizi kahama insta maana jumalokole alimwandama mpaka basi.... Malkia wa Insta hapana kwakweli teh