Ni kweli Idris na Wema Sepetu wameachana?

Mwenzangu nimemuona....Shishi ndo anasema wenye mimba mzae salama, sie bado hakujakucha kwetu (sijui dongo la nani sasa)
Yaani Shishi anapenda dogodogo kuliko vikongwe wenzake.
Halafu yule si yupo sawa na Nuh tu jamani?
Kizazi hiki, sijui kina nini.
Na leo nasubiri movie ianze ya Michirizi na Susan
 
Ha ha ha huyu wa sahivi wa shilole sio serengeti eti ni NGORONGORO
 
Khaaa,hakyanani bado nimetoa macho..hivi dida nini lakini mbona anamaliza watoto wa wenzie...
Mtoto wa 93 na kiajuza kile,jamaniii mbona nimeumia kama mie ndio mama wa huyo kijana...
 
Eti Eid lissa naye ana flow na midundo ya movie kutompost bibie kwa sababu za kibiashara!!
 
Nzuri sana wote!

http://s07.jamiiforums.com/mini/uyE8/bg_000000/txt_000000/border_000000/flags_0/
 
Khaaa,hakyanani bado nimetoa macho..hivi dida nini lakini mbona anamaliza watoto wa wenzie...
Mtoto wa 93 na kiajuza kile,jamaniii mbona nimeumia kama mie ndio mama wa huyo kijana...
Ha ha ha huyu wa sahivi wa shilole sio serengeti eti ni NGORONGORO
Teenagers 17 -19 na age ya 20-29 huwa wanasimamia show sana kwa sababu wanakuwa na ululu wa ndizi mwingi,akimkamata Demu aliyozoea kugongwa na mijitu ya >35 yenye colestol mwili mzima basi Demu lazima adate,ndio maana shishi yeye na vingorongoro tu.
 
Haka ka sahivi kamezidi jamani ni kadogo duh
 
Teenagers 17 -19 na age ya 20-29 huwa wanasimamia show sana kwa sababu wanakuwa na ululu wa ndizi mwingi,akimkamata Demu aliyozoea kugongwa na mijitu ya >35 yenye colestol mwili mzima basi Demu lazima adate,ndio maana shishi yeye na vingorongoro tu.
Hahahaa, hao madogo wanaacha age mate wao wanakimbilia screpa za nini....shishi yeye ni mwendo wa kulea tu ana nyota ya umama..
 
Uwiiiiiiiii jamani mbea mimi niliyetukuka niko gonjwa kitandani malaria imenitandika vibaya sana.
Ndio napitia huu ubuyu,hebu ngoja nikae vizuri tupeane ubuyu vizuri maana huyu Dida kazidi.
Sura yenyewe sio sura sio wazimu basi tafrani tupu,habari zake ninazo.
Niombeeni tu mbea mwenzenu nikae sawa.
warumi Evelyn Salt Ms.Lincoln GENTAMYCINE Bitoz brenda18
My hubby n.w
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…