GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
What's wrong madam Donatila?Kizazi kibaya na cha zinaa, chataka ishara wala hakitaona...
Mathayo 16:4
πππMimi nilipata milioni 10 congo lumumbashi kwa miujiza
Hawatapata ishara isipokuwa ishara ya Yona π€Kizazi kibaya na cha zinaa, chataka ishara wala hakitaona...
Mathayo 16:4
πππNikianza kuelezea hata sitamaliza [emoji2962].
Upendo wa Mungu umekuwa tiba. Amani niliyonayo si ya ulimwengu huu, hata ingekuwa yauzwa nisingeweza pata ya hii grade.
Biblia inasema 'Amani yangu nawapa. Amani hii si kama ulimwengu utoavyo' - (Agano jipya, sikumbuki ni kitabu au mistari ipi exactly)
Kuwezeshwa.
Neno la Mungu linasema 'Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu' - Filipi 4:13
Amekuwa uwezo wangu kwenye maeneo yote. Hata ambayo ungeshindwa kujua ufanyeje, ukisema 'Bwana Yesu naomba hekima katika haya', unapata jinsi ya kuhandle swala na likaisha vizuri. Hapo sijagusia uongozi bombastic wa Roho Mtakatifu, unaotupa hatua za kuchukua kwa kila tulifanyalo.
Ulinzi.
Neno la Mungu linasema 'Malaika wa Bwana hufanya kituo kuwazungukia wamchao na kuwaokoa' Zaburi 32:7
Aisee... Ungejua mara ambazo Roho wa Mungu huzungumza nasi (familia yetu) kututahadharisha na vifo, ugonjwa na hali sizizofaa...ungeona hichi ni kitu gani. Uwepo wa Ulinzi wa Mungu ni pamoja na kushtuliwa: Usiende hapa, pita hivi, acha huyu usieke ukaribu na mengineyo. (Vilevile Roho huwa nasi kutuambia tuombe vipi, kufikia lengo fulani).
[emoji817]Nikianza kuelezea hata sitamaliza [emoji2962].

Nafikiri ushuhuda wenyewe ndiyo huu hapa chini.Moses kulola baada ya kufunga siku 365 ,alienda kwenye mkutano madhabau ya zege kubwa sana ilinyanyuka watu wote kwenye mkutano walikimbia.