NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Awe TU!Kuna faida nyingi kuliko hasara ya kikwete kuwa Rais wa Africa!!
Ataleta demokrasia na kuteketeza udikteta!anaamini kutatua migogoro mezani kuliko chuma!!
Mimi Nampa kura moyoni japo sidhani kama Kuna Dili za kupiga kule!!
Nadhani hasara pekee kwa Tz ni pale atakapotumia hiyo nafasi kutaka influence ya uongozi nchini mwetu iwe ya wale anaowataka ye na Uhuru kenyata wanaweza kutumia nafasi hiyo Ili wanawe wawe Marais wa nchi na ku dominate uongozi!
Lakini kama lengo ni kutatua changamoto za mataifa ya Africa hasa udikteta na migogoro bas kikwete is the Best!!