Ni kweli Jakaya Kikwete anagombea Uenyekiti wa Kamisheni ya AU?

Ni kweli Jakaya Kikwete anagombea Uenyekiti wa Kamisheni ya AU?

Ukiwaweka kikwete na odinga kwenye mizani ya kiuongozi, odinga hamfikii hata nusu. Jk ame practise presidency not just competing kama huyo odinga. The guy has been number one kwenye nchi mashuhuri kama tanzania, huwez mlinganisha na Odinga. A trial n error presidency candidate, never. Anatembelea history tu ya baba ake not otherwise
Sikiliza wewe chawa wa Kikwete. Odinga amekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, ambacho ni cheo Cha juu serikalini kinachompa hadhi ya kuwa AU Commission Chairperaon. Pia Odinga kapigania Mfumo wa vyama vingi Kenya kateswa kafungwa bila kesi nk mpaka vyama vingi vikaja kupatikana Kenya. Usisahau Odinga alikuwa na kesi ya uhaini ya kumpindua Moi. Odinga kapambania katiba mpya hii ya Kenya Kama unakumbuka chungwa na ndizo enzi zile. Kenya kwa Sasa wanamwita Odinga baba, unajua kwanini? Odinga ndiye mpambanaji wa devolution Kenya kupitia Katiba mpya. Hivyo kwa heshima wakamwita baba.

Sio mtu kazaliwa CCM na kukulia CCM halafu chawa anakuja hapa kudai kuwa huwezi kumlinganisha JK na Odinga. Ni kweli Kikwete kakuta watu wamemtengenezea njia ila Odinga katengeneza njia kwa wengine.
 
No no no..Compare and contraat between Odinga na Jk.
That is my concern hapo. Jk is far better.

Ujue mkuu nyie ni walalamikaji tu watanzania, hamnaga jema nyie hata m bebwe migongoni. Nyie ni pye pye pyee midomoni, nothing to show.

Achen kulalamika lalamika, na hii ndio sababu ccm watawageuza geuza wanavyotaka
Punguza kelele. Una compare and contrast kwenye maeneo gani?. Yani mtu hajawahi fanya mapambano unamlingamisha na Odinga?. Kuwa serious
 
Sikiliza wewe chawa wa Kikwete. Odinga amekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, ambacho ni cheo Cha juu serikalini kinachompa hadhi ya kuwa AU Commission Chairperaon. Pia Odinga kapigania Mfumo wa vyama vingi Kenya kateswa kafungwa bila kesi nk mpaka vyama vingi vikaja kupatikana Kenya. Usisahau Odinga alikuwa na kesi ya uhaini ya kumpindua Moi. Odinga kapambania katiba mpya hii ya Kenya Kama unakumbuka chungwa na ndizo enzi zile. Kenya kwa Sasa wanamwita Odinga baba, unajua kwanini? Odinga ndiye mpambanaji wa devolution Kenya kupitia Katiba mpya. Hivyo kwa heshima wakamwita baba.

Sio mtu kazaliwa CCM na kukulia CCM halafu chawa anakuja hapa kudai kuwa huwezi kumlinganisha JK na Odinga. Ni kweli Kikwete kakuta watu wamemtengenezea njia ila Odinga katengeneza njia kwa wengine.
Ni mawazo yako yanapaswa kuheshimiwa kabisa. Na mimi sina budi kuya heshimu kamanda.
One love.
 
Wanaotakiwa ukiacha sifa ya kuwa na masters, anatakiwa awe amewahi ku hold Senior position ya uongozi wa nchi kama waziri kwenda juu.

Hadhi ya huyo mtu ni sawa na Rais wa nchi.

Shida sio JK kashika wadhifa gani Tanzania. Hiyo ni technical post ndio maana kila mwombaji anapeleka CV na vision statement yake ya idara zote anazosimamia anataka ziwe na mwelekeo gani. Lengo ni kusaidia AU directives kwa faida ya continent. Na anakuwa kama mshauri mkuu wa msimamo wa bara katika hayo mambo.

JK maisha yake yote ni siasa kazoea watu wa aina hiyo kumshauri, siyo yeye mwenyewe kupanga mikakati.

Hiyo vision statement yenyewe ya kupeleka na CV labda aandikiwe na mtu. Ndio sikatai JK ana kihehere ila kama kimefikia huko cha kutafuta technical posts; its time for psychological intervention ya kumshauri how to let things go, bado anasumbuliwa na mazoea ya uongozi wa juu and fights to remain relevant.

Ila sidhani kama anaifikiria hiyo nafasi pamoja na psychological issues alizonazo.
 
Naipenda Sana Rwanda mkuu. Baada ya Tanzania nchi yangu ya pili ni Rwanda.
Shida unaitanguliza sana Rwanda. Mimi binafsi naipenda Gabon na Namibia lakini Kamwe siwezi kuzitanguliza kabla ya Tanzania kwa namna yoyote. Rwanda anaiba ili watoto wake wale. Shida ni kuwa wizi wake unatucost mpka sisi na tuko naye ktk jumuia. Kwa mfano wako raia wetu wanakufa ktk mapambano na M23 ambao Rwanda anawasapoti.

Kagame anasema atalinda watutsi walioko Kongo. Hii kauli Kuna siku atakuja kuisema kwa Tanzania ndiyo maana wengi huku tunampinga. Nafkiri tofauti yetu iko hapo.
 
Odinga is the best.
Hapa kwa CV ya JK itambeba. Labda JK asishindane.
JK alikuwa ktk kamati ya kujenga Libya baada ya vita.
JK ashahodhi uenyekiti wa jumuia kadhaa za kikanda.
Kipindi Cha JK akiwa AU chairperson majeshi ya Monusco yalipata mafanikio makubwa huko Kongo. Na kumbuka suala la Kongo ndiyo mtambuka Sasa hivi Africa. Pia, JK amejenga urafiki na viongozi wengi wa kidunia anaweza kunitumia hiyo pia kama turufu kama ataamua kugombea anaweza kushinda.
Mawazo yangu.
 
Shida sio JK kashika wadhifa gani Tanzania. Hiyo ni technical post ndio maana kila mwombaji anapeleka CV na vision statement yake ya idara zote anazosimamia anataka ziwe na mwelekeo gani. Lengo ni kusaidia AU directives kwa faida ya continent. Na anakuwa kama mshauri mkuu wa msimamo wa bara katika hayo mambo.

JK maisha yake yote ni siasa kazoea watu wa aina hiyo kumshauri, siyo yeye mwenyewe kupanga mikakati.

Hiyo vision statement yenyewe ya kupeleka na CV labda aandikiwe na mtu. Ndio sikatai JK ana kihehere ila kama kimefikia huko cha kutafuta technical posts; its time for psychological intervention ya kumshauri how to let things go, bado anasumbuliwa na mazoea ya uongozi wa juu and fights to remain relevant.

Ila sidhani kama anaifikiria hiyo nafasi pamoja na psychological issues alizonazo.
Unajifanya mjuaji kumbe kiazi paseee.... I bet utakua kajitu kafupi sana na kapumbavu fulani hivi mwenye low self esteem iliyopitiliza ndo maana huwa mnajifanya vijuaji juaji fulani hivi vishenzi.

Pitia profiles za wote waliowahi kamatia huo wadhifa ukianza na akina Salim Ahmed Salim na wengineo...

Mousa Fakhi anayemaliza muda wake ni former prime minister of Chad....

Hao higher profile citizen ni wanasiasa walio wahi hold vyeo vikuu vya kisiasa katika nchi zao....

Punguza ujuaji we kima utaaibika....
 
Hivi kuna binadamu hawatosgeki ? Ana shida gani ? Kuna shida mahali....maana hata mke hamna kitu kichwani amelazimisha ubunge khsaa mtoto kilaza wa karne....lakini fitna na shirkii
Nenda wewe basi, si ajabu haukufahamu hilo jambo hadi lilivyoletwa hapa kama tetesi
 
Back
Top Bottom