Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 18,813
- 21,830
Hana mchango wowote ameharibu nchi hii anaenda huko kufanya nini ? Ameuza gas yote ya nchini nchi inahaha umeme wakati tuna gas haina faida kwa maslahi yake au hujui hilo ? Akija Rais makini huyu anatakiwa anyongweKwani akigombea ni kwa ajili ya shida!? Naamini ikiwa anagombea basi anataka kutoa mchango wake na nguvu zake kwa faida ya Africa.
Mbona rahisi tu