Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
relax bas kamanda,Wanaenda Kigali kufanya Nini? Acheni wivu wa kijinga. Kama mnapambana na waasi pambaneni nao wakiwa Congo. Mnahangaika na Rwanda ya Nini?. Kwenu Kuna shida ya sukari, Deni la nje limeongezeka, umeme shida, bima ya afya hospitali hazijalipwa etc. Ila unahangaika na kuovamia Rwanda ili update Nini?.
Wakati Banyamulenge wanamsaidia kabila miaka ya 1996 mbona hamkulalamika?. Ila Leo ndio mnalalamikia Banyamulenge. Acheni ujinga.
ni maoni na mtazamo tu🐒