Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
miguna anasema Baba hata cheti cha form four hana,na jana kasema Raila amataje hata mtu mmoja aliyesoma nae secondary school au Chuo.Miguna na Odinga ni kama Lowassa na JK...
Walikua chanda na Pete hadi Miguna kufikia kimuapisha Odinga kama Rais lakini baada ya Odinga kuungana na Uhuru kula keki akamgeuka swahiba wake wa siku nyingi kufikia Miguna kupigwa BAN kuingia Kenya.