Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka post hii umeiandika ukiwa na hasira Kali sana dhidi ya wasabato.Hawa watu kama waliwahi fika Airport wakadai wasafiri Bure tena bila viambatanisho unahisi watakuwa na akili vizuri, Hutu tujamaa nahisi Catholic waga ni adui wao namba moja kuliko hata Shetani
Roman catholic, haijawah kufanya upu uzi uu wala kujalibu, lile kanisa ni zaidi ya cheo cha rahisi, sisemi mengi ila katoliki baba lao, mama lao.Hao wasabato na hao waroma wote wapumbavu tu, kwa dunia hii ya leo yenye uhuru na haki ya kuabudu unachokitaka watamlazimisha nani afuate sheria fulani?
Sio wafuasi wa ukatolic tu hata wasio amini hiyo imani hakuna anayeweza kulazimishwa kuamini jambo analotaka mwengine, bahati mbaya wafia dini ni vilaza hawajiulizi haya mambo, dunia ya leo si ile ya miaka ya mababu walioendeshwa kifala kulazimishwa kuamini jambo fulani, leo hii hata zitumike sheria ngumu binadamu bado hawatozifuata.
Acheni kuamini uzushi, hao wakatolic na hao mnaowapa airtime za kijinga hawana hiyo nguvu ya kuamrisha watu wafanye nini, labda kwa waumini wao.
Hata hiyo sunday's law sijui takataka gani hawajaanza kuifanyia kazi leo wala jana bali muda mrefu wamekuwa wakiitumia lakini mambo yao yalibuma, walishajaribu muda mrefu kutaka kuicontrol dunia kupitia sheria zao za kipuuzi za kidini na kisiasa lkn hakuna lililofanikiwa,
kama kipindi cha ujinga na upumbavu wa miaka ya nyuma walishindwa kuitekeleza hiyo NEW WORLD ORDER basi kwa kizazi hiki cha ustaarabu, haki na uhuru hakuna watakaloliweza, acheni uoga na hayo mafundisho ya wachungaji wenu wanaowatishatisha, dunia haina mwisho, haitoisha leo wala kesho, hata hao mnaowaogopa kuwa wataitawala dunia bado hawajafikia nguvu hizo, ndio kwanza wanazidi kupoteza ushawishi katika jamii, ndiomaana wamebaki kueneza vitisho na propaganda kupitia vilaza wao ambao baadhi ni hao manabii wenu, wachungaji wenu na hata viongozi wakuu kutoka kanisa la sabato wako chini ya hao hao waliotunga hizi dini.
afu katoliki haijawahi kuhangaika na hao sda hata mara moja wala kuwaza kama wanatukanwa.Wasabato adui yao mkubwa sio Shetani bali ni Wakatoliki[emoji38][emoji38].Sijawahi kuona Wasabato wanashambulia mafundisho ya madhehebu mengine kwamfano Lutheran,Anglican,Assemblies of God,Moravian wao kila siku ni kuwapinga Wakatoliki tu[emoji1787][emoji1787]
Hii umeitoa wapi Mkuu!?Yesu atarudi mnamo amri ya jumapili itakapotangazwa na kanisa jumapili Upapa
Unajua kwa nini makanisa ya jumapili wanaeka ruva kenye madirisha?
Kwenye makanisa ya Roman Catholic ndizo zitakuwa magereza ya kufungia na kuwatatesa watakatifu w mungu ambao watakataa kutii amri ya papa ya kupokea chapa ya mnyama au kuabudu jumapili.
Wasabato ndio kundi la waaminifu wa zmungu wanaolengwa na papa ila kwa kuwa Mungu anataka awaokoe wengi ndio maana wanaotubu na kujiungs na wasabato wataokopewa