Ni kweli kesho kuna mchezo wa ligi kuu kati ya simba na yanga?

CAPO DELGADO

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2020
Posts
8,542
Reaction score
18,340
Habari wakuuu.

Nimeomba niulize hili swali kwenu wadau.

Nilikuwa na ndugu watatu TFF akiwemo katibu mkuu mstaafu. Wawili wametoka amesalia Kuwepo ofisini.

Niende Moja kwa Moja kwenye swali, JE ni kweli kesho kutakuwa na mchezo kati ya Simba na Yanga???

Hizi timu
TFF.
Bodi ya ligi.
Hata wizara.
Huwa hazieleweki, zimetutia ujinga mwingi Sana.

Mwenye masikio na asikie
Naomba kuwasilisha.
 
Mkiwa nje ya uwanja kabla ya mechi, mnabweka kweli kweli! Mkiingia sasa uwanjani; mnaanza kusingizia Yanga kuroga mechi! kununua waamuzi! kununua wachezaji! nk.
 
IMG-20221010-WA0066.jpg
 
Habari wakuuu.

Nimeomba niulize hili swali kwenu wadau.

Nilikuwa na ndugu watatu TFF akiwemo katibu mkuu mstaafu. Wawili wametoka amesalia Kuwepo ofisini.

Niende Moja kwa Moja kwenye swali, JE ni kweli kesho kutakuwa na mchezo kati ya Simba na Yanga???

Hizi timu
TFF.
Bodi ya ligi.
Hata wizara.
Huwa hazieleweki, zimetutia ujinga mwingi Sana.

Mwenye masikio na asikie
Naomba kuwasilisha.
Sidhani ila nijuavyo mimi ni tarehe 23/10/2022 Siku ya Jumapili ila muda sijui
 
Nime ishuhudia Simba ikikumbia uwanjani mwaka 1985 dakika za lala salama wakiwa nyuma Kwa goli Moja la Omar huseni wa Yanga, Katika dk za lala salama Twalib hilal wa Simba aliunawa mpira ndani ya box lao na mwamuzi kuamulu penalty kuelekea lango la Simba. Simba wakatoa timu na Yanga akapewa pointi mbili na Magoli mawili.

Nili ishuhudia Simba iki kataa kurudi uwanjani kipindi Cha pili mwaka 91, baadhi ya wachezaji wanataka mechi iendelee na walisha ingia uwanjani uku baadhi ya wachezaji wakigoma kuingia uwanjani na kwenda kupanda Gali lao Baada ya mzozo mkubwa katiyao wote wakaondoka na Yanga akapewa pointi 2 na Magoli mawili kocha wa Yanga alikua Mziray.

Kuna mwaka baada ya 91 waligomea Tena mechi ila Sina kumbukumbu vizuri Ili kuaje.
Hata ikitokea Tena kesho Simba wakacheza na wakistukia Hali ni ngumu wakakimbia uwanjani halitakua jambo jipya.
 
Aisee kumbe ww mzee. Heshima yako broo
 
Back
Top Bottom