Ni kweli kesho kuna mchezo wa ligi kuu kati ya simba na yanga?

Ni kweli kesho kuna mchezo wa ligi kuu kati ya simba na yanga?

Viongozi na mashabiki wa yanga wanalalamika kwa nini simba hawaiyongelei mechi ya kesho wakati yanga ndo mwenyeji wanadai simba wana roho mbaya wakati wamesahau walivyosema wana mashabiki wengi team ya wananchi
 
Yanga tunampango wa kugomea mechi,tff wanatuzingua sana.
 
Back
Top Bottom