pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 10,913 Reaction score 13,876 Oct 22, 2022 #21 Viongozi na mashabiki wa yanga wanalalamika kwa nini simba hawaiyongelei mechi ya kesho wakati yanga ndo mwenyeji wanadai simba wana roho mbaya wakati wamesahau walivyosema wana mashabiki wengi team ya wananchi
Viongozi na mashabiki wa yanga wanalalamika kwa nini simba hawaiyongelei mechi ya kesho wakati yanga ndo mwenyeji wanadai simba wana roho mbaya wakati wamesahau walivyosema wana mashabiki wengi team ya wananchi
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 10,913 Reaction score 13,876 Oct 22, 2022 #22 SAGAI GALGANO said: Dogo kwa kulala tu hajambo.View attachment 2394349 Click to expand... Morrison anasema anaweza kulala kwa ajili ya wa Africa wote
SAGAI GALGANO said: Dogo kwa kulala tu hajambo.View attachment 2394349 Click to expand... Morrison anasema anaweza kulala kwa ajili ya wa Africa wote
Waminyato JF-Expert Member Joined Jun 22, 2022 Posts 2,197 Reaction score 4,525 Oct 22, 2022 #23 Yanga tunampango wa kugomea mechi,tff wanatuzingua sana.