Ni kweli kiapo cha kutunza siri kinakuwekea mpaka kuusema uhuni wa wahuni wanaoichafua nchi

Ni kweli kiapo cha kutunza siri kinakuwekea mpaka kuusema uhuni wa wahuni wanaoichafua nchi

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
4,249
Reaction score
11,592
1. Ni kweli kiapo cha siri kinampiga spana kumwaga Michele kwenye kuku...

2. Kwani akiwapa wasio na viapo hivyo na kuachilia mabomu haya ili nchi ipone, kuna ubaya kisheria wananzengo..?

3. Kwa hali ilivyo sasa, ili kuuponya uhai wa Binti Kiziwi, ni lazima tu wahuni wanataka kuliangamiza taifa hili wajulikane...

4. Otherwise, kuendelea kuficha gonjwa hili, mwisho wa siku kilio kitawaumbua watu...
 
Back
Top Bottom