GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwahiyo kumbe hata Mimi GENTAMYCINE nikienda Kuwatembelea Marafiki zangu wakubwa hapa JamiiForums akina Mtani wangu Arovera, mrangi, Bila bila, SAGAI GALGANO. rodrick alexander na Mjeda wangu wa 521 Lugalo King Kong III na Watoto wao wakija kunipa Hela basi moja kwa moja natakiwa Kujisifu na Kutamba kuwa hawa Watoto wao ni Malaika na wameshushwa muda huo huo kutoka Mbinguni kwake Mwenyezi Mungu / Allah?
Yaani GENTAMYCINE nilivyo na Dhambi Nyingi (za Ufisadi na za Ununio) japo najifanya Mwema leo Malaika wanitembelee?
Yaani GENTAMYCINE nilivyo na Dhambi Nyingi (za Ufisadi na za Ununio) japo najifanya Mwema leo Malaika wanitembelee?