Ni kweli kuhusu utajiri wa Rais?

Ni kweli kuhusu utajiri wa Rais?

Duh! Siyo kwamba zimefanana?

Na kama siyo kweli hii ni defamation?
Hakuna ufanano wa namna hiyo bro Mushi. Halafu jiulize ni nani anaweza piga picha mpaka vyumbani, majikoni, sebuleni kwa nyumba ya Rais? Kwa ruksa ya nani?

Ni fabrications tu za kuokoteza picha kwa ajili ya kumchafua Rais
 
Hakuna ufanano qa namna hiyo bro Mushi. Halafu jiulize ni nani anaweza piga picha mpaka vyumbani, majikoni, sebuleni kwa nyumba ya Rais? Kwa ruksa ya nani?

Ni fabrications tu za kuokoteza picha kwa ajili ya kumchafua Rais
Lakini kuna reshuffling zimefanyika. Maybe kuna taarifa zimetolewa bila idhini nk.

Huyo mwingereza alikuwa anaongea kwa kujiamini sana.

Kama si kweli wamshtaki kwa defamation.
 
Lakini kuna reshuffling zimefanyika. Maybe kuna taarifa zimetolewa bila idhini nk.

Huyo mwingereza alikuwa anaongea kwa kujiamini sana.

Kama si kweli wamshtaki kwa defamation.
Alichofanya ni "cyber crime". Ameunganisha vipisi vya habari mbalimbali kisha akamchanganya na Rais Samia. Halafu akachukua magari mbalimbali akayaingiza kwenye clip ili kuonyesha kuwa ni ya Rais Samia.

Naweza kukuletea website alizochota na kutengeneza UWONGO wake kama unataka
 
Cyber crime?

Not defemation?
 
Sijawahi kusikia mzanzibari fisadi.
Sijui nini kimetokea!!
 
Cyber crime?

Not defemation?
Sina utaalamu wa sheria lakini yawezekana yote mawili yakawa ni makosa kwa wakati mmoja.

Kuchapisha taarifa za uongo, zinazopotosha, zisizo sahihi, kwa lengo la kudhalilisha, kutishia, kutusi au kudanganya au kuchochea utendaji wa kosa ni kosa kwa mujibu wa Sheria ya Makosa ya Mtandao ya mwaka 2015
 
Inategemea. Kwa wengi tu ni mkubwa.

Kwani kama taifa hatupokei misaada ya kiasi hicho?
jmushi1 nimekwisha kuonyesha kwenye post yangu namba 34 nyuma kuwa hiyo clip ni FABRICATED na wahuni wa mtandao na nimekupa ushahidi wa picha.

Kwa kuwa wewe ndiye mwenye hii THREAD nashauri uwajibu watu kuwa huu ni UWONGO kuliko kuendelea kujadili "UTAJIRI WA SAMIA" ambao haupo
 
Kwa aliyoyafanya hizo chache sana.!! Ajitahidi afike kwenye T
 
jmushi1 nimekwisha kuonyesha kwenye post yangu namba 34 nyuma kuwa hiyo clip ni FABRICATED na wahuni wa mtandao na nimekupa ushahidi wa picha.

Kwa kuwa wewe ndiye mwenye hii THREAD nashauri uwajibu watu kuwa huu ni UWONGO kuliko kuendelea kujadili "UTAJIRI WA SAMIA" ambao haupo
Nijibu tena na wakati mimi ndo mwenye swali?
 
Nimekutana na hii video clip somewhere. Not sure about its contents. Kwamba rais ana utajiri wa $15M, karibia TZS 40B kama sikosei.
Labda Dulla ila kwa Yeye ukiniambia ana Utajiri wa kuanzia Trillioni naweza Kukuelewa kwani hii Bilioni uliyoitaja hapa kuna Mawaziri wake kama Wawili hivi wanazo mara mbili yake halafu Wote wanautaka Urais wa Tanzania kama ambavyo Simba Sports Club yangu nayo inavyoutafuta kwa Tochi Ubingwa wa Ligi Kuu wa NBC kwa mwaka huu wa Tatu sasa.
 
Magu alipiga 1.5 Trilioni kwa pigo moja tu.
Waafrika tuna laana mkuu, ni wizi sana. hizo mbona ulizotaja mbona bado ni ndogo sana.
 
Nimekutana na hii video clip somewhere. Not sure about its contents. Kwamba rais ana utajiri wa $15M, karibia TZS 40B kama sikosei.
kama ni hizo mbona ndogo sana, kwa kipindi chote amekaa hiki na allegation alizotoa lisu kuhusu kijana wake?
 
Back
Top Bottom