Ni kweli kuhusu utajiri wa Rais?

Ni kweli kuhusu utajiri wa Rais?

Nimekutana na hii video clip somewhere. Not sure about its contents. Kwamba rais ana utajiri wa $15M, karibia TZS 40B kama sikosei.
Tumia akili yako.
Kama kweli basi watu wa huko alikojenga wangesha eleza.
Tundu lissuna wengine wanhe sharopoka.
Hiyo video siyo ya leo.
 
Back
Top Bottom