Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inashangaza sanamambo ya kiroho nayo kuna mdaa ni hadithi tu...
Lkn ndo ya mhimu sana kuzingatiwa,hata saikolojia ina sapotimambo ya kiroho nayo kuna mdaa ni hadithi tu...
ukishasema roho unazungumzia mambo ya imaninamaanisha kiroho.
Acha uoga...nyandua tu maisha utayakuta peponiHapa siongelei financially.
Naongelea katika upande usionekane katika macho ya nyama.
Namaanisha energy, namaanisha kiroho.
Nimesikia hapa na pale katika mada tofauti kuhusu jambo hili huku ikisemwa kuwa kuna uwezekano mkubwa wa wewe kuathirika kiroho or ki-energy pale unafanya sex na mwanamke /mwanaume ambae anakumbwa na msongo wa bad energies fulani.
Yani mna share nae energies zenu kupelekea kama unae lala nae akiwa muathirika wa mikosi/gundu sana inakufanya iweze ku-affect the whole experience ya nishati yako.
So unakuta hata maendeleo yako ya uchumi, mahusiano au aura yako vinashuka sana.
Tusaidieane wajuvi wa mambo.
Ni kweli not sexualy transimitted , but sex ni lango, au hufungua milango na kuruhusu energies kuingia au kutokaGundu, mikosi is not sexually transmitted.
Ifike sehemu muone aibu kuamini amini vitu vya kijinga.
Kuna Ke ukikutana nao leo jumatano, wiki yote hii unapata pesa na michongo tu. Kuna Ke ni mikosi, kaumwa yule, simu za matatizo haziishi the whole week.Wanasema Kuna wanawake wanakua na rizik kwenye maisha ya mwanaume na Kuna wengine ni mikosi Hilo pia nimelisikia
Funguka...Inaweza kuwa kweli NAmi nasikia
Lakin kwenye mazingira ya kawaida ukiachia mbali ngono Kuna mtu aliwahi kuniambia kitu Cha kunishangaza
Anakuwa na bad energy?!Ni kweli not sexualy transimitted , but sex ni lango, au hufungua milango na kuruhusu energies kuingia au kutoka
Kama ambae unashiriki nae ana bad energy , maybe huto ona impact muda huo ila utaona gafla mambo uliyo yazoea hayawezekan au yanakuwa magumu kutekelezeka
Ni spiritual zaidi
Sure ukutane na wale wanaong'ata sasa..wanakuachia ngeu na virusi juu..aaaghhhhhNgono ni mbaya sana natamani niache lakini nashindwa. MIHOGO NI MITAMU MNO 😋😋😋
Hatari ya ngono ni zaidi ya kuvaa mabomu ya kujitoa muhanga, utajizolea matakataka ya aina zote. Ni COCKTAIL ya mauchafu, yaani gundu, mikosi, laana, giza, mashetani nk.
Mnapokutana mnabadilishana nguvu za kiroho, kila mmoja anabeba vya mwenzake, hata mashetani yanahama kutoka pande zote.
Tena wale wenye MIHEMKO MIKALI ndio wabaya sana maana wanahamisha uchafu kisawasawa, unakuta majitu yanabomoana kama MAJEHU, wanatifuana haswaaaa, matokeo yake ni GUNDU PRO MAX.
Bora uwe na mtu mmoja au uache kabisa kutombana maana hata huyo mmoja kuna wakati anakuwa na mauchafu pia.
Cc: Lamomy Labella realMamy Kalpana Extrovert Bolotoba Intelligent businessman secretarybird mshamba_hachekwi Kijana masikini Dogoli kinyamkela Poor Brain Mbaga Jr Tlaatlaah
Kuna wale viumbe wanapenda kula ile energy ya kujichua, ni kama arosto ya bangi kwa teja. Au madawa ya kulevya sort of thing.Maana ukifanya Sana Ngono kujichua jaribu hata kujitazama katika kioo utaona jinsi unavyopoteza Nuru .