Ni kweli kuna dawa ya kuzuia maambukizi ya HIV ndani ya masaa 72?

Ni kweli kuna dawa ya kuzuia maambukizi ya HIV ndani ya masaa 72?

Tamama

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2016
Posts
887
Reaction score
1,106
Habar wakuu,

Nimesikia hii habari kuwa kwenye mahospital kuna dawa zinazotelewa kwa wahanga mfano watoto wanaobakwa kuzuia maambukiz ya vvu ambapo muhusika anatakiwa kutumia ndan ya masaa 72

Nasikia husaidia kuzuia maambukizi ya virusi na magonjwa mengine ya zinaa, je hili lina ukweli? Na inakuaje kwa muhitaji ambae si muhanga na garama zake zikoje
 
Ni kweli na si mtoto peke yake hata Mtu mzima,Sharti lake ni ukubali kupima Kama hauna maambukizi ndio utaruhusiwa kutumia hizo PEP kuhusu gharama ni Bure.

Sent from mTalk
 
Jamani sasa inakuaje ukipiga mbichi alafu anaenda kuchoma unadai condom imepasuka
 
PEP au post-exposure prophylaxis kwa kimombo ni mojawapo ya ARTs nayo hu depress uongezekaji wa virusi vya ukimwi na ni 100% assured kuua kabisa virusi hivyo kama ikitumiwa ndani ya masaa 72 baada ya tendo ambalo unahisi si salama au kubakwa na sexual assault nyinginezo.......... Inatumika kwa siku 28 mara mbili kwa siku
..kwanini isubiri dharura tu?? JIBU. Virus vina uwezo wa ku i transcript dawa kama hizo ko mtu ukitumia mara mbili au tatu inageuzwa kua harmless katika mwili wako ko inashindwa kuwadhuru virusi hao...... Nahisi nimejibu swali lako kama bado unaeza uliza pia coz through questions u get to understand better
 
Na pia kuna hii pre-exposure prophylaxis... Ila jina la kuuzia n truvada ina lower chances za maambukizi ya ukimwi sio kinga ila inasaidia uwezekano wa kupata maambukizi hasa kama unaishi mazingira ambayo si salama na pia madaktari wanaohudumia wagonjwa wa ukimwi hutumia hii ili kujikinga
 
Ni kweli kbsa

Ni zile zile zakupunguza makali

Unapewa unameza zinaemda funga resepta za seli kwahyo virus of hiv awawez iingia ndan ya cell nahvyo wakikaa nje ya cell (wanAzunguka tuu kwenye damu) hawadum kwa siku tatu wanakufa

+(kwenye cell ndio wanaweza ishi)
 
Nilikua naomba swali niulize unaweza ukafanya mapenzi na muathirika na asikuambukize? Maana imepita mwez sasa toka nisex na mwanamke aliyeathirika hapa nilipo nina presha mpaka bac naombeni majibu jaman plz
Ndio kama njia za maambukizi hazikujitokeza kama michubuko kat yenu.

Pia wanasema HIV+ anaetumia dawa anachance ndogo kumuuambikza mtu mwingine


Ila kama imefka 40yako kama ya mwiz linaweza kukuhusu


Nenda kapme upewe hzo dawa



ImooOoooooOooooooo
 
IPO ni ya sindano inaitwa PEP ngoja wataalam waje waielezee vzr
Siyo sindano ila ni vidonge vya ARV. Baada ya kuwa contaminated kwanza unatakiwa kupima kabla ya kuanza hizi dawa za pep ili tujue je unamaabukizi. Kama unayo hautaanzishiwa pep utasubiri tu uanze dawa za matibabu ya hiv. Kama upo negative utaazishiwa pep na hii inatakiwa uanze mapema kabla ya masaa 72. Na dawa hizi unatakiwa kumeza kila siku kwa muda uliopangwa kwa siku 28. Baada ya miezi 3 unaweza kupima kama umeambukizwa.
Kwa hiyo PEP ni dawa hizi hizi za arv lakini hutolewa kwa mtu ambaye Hana maambukizi na amejicontaminate.
PEP kirefu chake ni post exposure prophylaxis
 
Ndio kama njia za maambukizi hazikujitokeza kama michubuko kat yenu.

Pia wanasema HIV+ anaetumia dawa anachance ndogo kumuuambikza mtu mwingine


Ila kama imefka 40yako kama ya mwiz linaweza kukuhusu


Nenda kapme upewe hzo dawa



ImooOoooooOooooooo
teh teh imooo tena duuhh
 
Nilikua naomba swali niulize unaweza ukafanya mapenzi na muathirika na asikuambukize? Maana imepita mwez sasa toka nisex na mwanamke aliyeathirika hapa nilipo nina presha mpaka bac naombeni majibu jaman plz
Andika wosia,pia zingatia matumizi ya ARV
 
Zipo hizo nakumbuka kuna Valentine day ya miaka kadhaa iliopita nilifanya mapenzi na changudoa mmoja wa kona bar bila condom,aisee asubuh nikaoanic sana,ndo nkampigia simu rafk yang mmoja ni mphamasia ndo akanipa hio dawa
 
Back
Top Bottom