PEP au post-exposure prophylaxis kwa kimombo ni mojawapo ya ARTs nayo hu depress uongezekaji wa virusi vya ukimwi na ni 100% assured kuua kabisa virusi hivyo kama ikitumiwa ndani ya masaa 72 baada ya tendo ambalo unahisi si salama au kubakwa na sexual assault nyinginezo.......... Inatumika kwa siku 28 mara mbili kwa siku
..kwanini isubiri dharura tu?? JIBU. Virus vina uwezo wa ku i transcript dawa kama hizo ko mtu ukitumia mara mbili au tatu inageuzwa kua harmless katika mwili wako ko inashindwa kuwadhuru virusi hao...... Nahisi nimejibu swali lako kama bado unaeza uliza pia coz through questions u get to understand better