Ni kweli kuna dawa ya kuzuia maambukizi ya HIV ndani ya masaa 72?

Ni kweli kuna dawa ya kuzuia maambukizi ya HIV ndani ya masaa 72?

PEP au post-exposure prophylaxis kwa kimombo ni mojawapo ya ARTs nayo hu depress uongezekaji wa virusi vya ukimwi na ni 100% assured kuua kabisa virusi hivyo kama ikitumiwa ndani ya masaa 72 baada ya tendo ambalo unahisi si salama au kubakwa na sexual assault nyinginezo.......... Inatumika kwa siku 28 mara mbili kwa siku
..kwanini isubiri dharura tu?? JIBU. Virus vina uwezo wa ku i transcript dawa kama hizo ko mtu ukitumia mara mbili au tatu inageuzwa kua harmless katika mwili wako ko inashindwa kuwadhuru virusi hao...... Nahisi nimejibu swali lako kama bado unaeza uliza pia coz through questions u get to understand better
Hadi sasa hakuna PEP inayotoa kinga ya 100%!!!!
 
Em mkuu maelezo kidogo hapo kwanini inamezwa usiku?????
Inamezwa usiku kwasababu hiyo dawa mtu akiimeza anaweza akaweweseka kwa maana kwamba anaweza akaona vitu ambavyo havipo, au kusikia sauti ambazo hazipo, au kutembewa na vitu asivyoviona mwilini mwake hii hali kwa kitaalamu inaitwa hallucinations.
 
Basi kama usemacho ni kweli basi Hoja aliyowahi kuitoa Mr Deception itazidi kuwa sahihi kuwa hv dawa ARV ndizo hasaaa zinazodhuru watu baada ya kutumia kwa muda fulani
Unaweza ukatuelezea kidogo ambao hatukusikia alichosema Mr Deception kuhusu dawa za ARV naamin wengi hatujui hayo madhara
 
Na pia kuna hii pre-exposure prophylaxis... Ila jina la kuuzia n truvada ina lower chances za maambukizi ya ukimwi sio kinga ila inasaidia uwezekano wa kupata maambukizi hasa kama unaishi mazingira ambayo si salama na pia madaktari wanaohudumia wagonjwa wa ukimwi hutumia hii ili kujikinga
Mnanichanganya sasa. Mwingine anasema PEP ni Post mwingine anasema ni Pre exposure prophylaxis. Nichukue IPI sasa?
 
Nilikua naomba swali niulize unaweza ukafanya mapenzi na muathirika na asikuambukize? Maana imepita mwez sasa toka nisex na mwanamke aliyeathirika hapa nilipo nina presha mpaka bac naombeni majibu jaman plz
Kimbilia kapime kwanza then subiri after 6 months upime tena. Ukipata majibu yanayokuridhisha kuwa ushajikwaa kimbilia kanisani kaanike dhambi zako upate uponyaji.
 
chance ya mtu kupata ukimwi ni ndogo sana. ukitembea na mwanamke mwenye UKIMWI chance ni 0.04%. inamaanisha wanaume 10,000 wakitembea na watu wenye UKIMWI kwa njia ya kawaida ni 4 ndiyo watakao ambukizwa.
Doooooh
Deception on fleek.
 
Inamezwa usiku kwasababu hiyo dawa mtu akiimeza anaweza akaweweseka kwa maana kwamba anaweza akaona vitu ambavyo havipo, au kusikia sauti ambazo hazipo, au kutembewa na vitu asivyoviona mwilini mwake hii hali kwa kitaalamu inaitwa hallucinations.
Ndo kusema hizo dawa ziko strong sana
 
Na pia kuna hii pre-exposure prophylaxis... Ila jina la kuuzia n truvada ina lower chances za maambukizi ya ukimwi sio kinga ila inasaidia uwezekano wa kupata maambukizi hasa kama unaishi mazingira ambayo si salama na pia madaktari wanaohudumia wagonjwa wa ukimwi hutumia hii ili kujikinga
Nakumbuka hii ilitaka kutangazwa kama chanjo ya h.i.v ila shirika la afya duniani wakaizuia baada ya kikao chao.
 
chance ya mtu kupata ukimwi ni ndogo sana. ukitembea na mwanamke mwenye UKIMWI chance ni 0.04%. inamaanisha wanaume 10,000 wakitembea na watu wenye UKIMWI kwa njia ya kawaida ni 4 ndiyo watakao ambukizwa.
mkuu hata ukitumia kasongo ya Kongo,acha utani aisee
 
Dawa hizi siyo kwamba ni kali. Ila ni very expensive. Na kwa taarifa yako hizi dawa ukija kwangu umefanya ngano zembe si kupi. Ajali ambazo tunatoa hizi dawa ni Kwa mfano kubakwa, kujichoma na sindano hasa kwa watu wa afya n.k. Ngono zembe siyo components za pep. Jikinge kwa kutumia condom
akiwa ni mwanao je au ndugu yako wa karibu sana
 
Hadi sasa hakuna PEP inayotoa kinga ya 100%!!!!
acha kupotosha mkuu, mimi binafsi nimetumia hizi PEP na wafanyakazi wenzangu pia wapo ambao nimeshuhudia wakipata exposure na wametumia kwa kufuata masharti na mpk sasa ni wazima wa afya, kama huna facts kaa kimya na uombe sana Mungu akuepushe na haya majanga kwani hakuna anaependa kupata maambukizi akiwa anatoa huduma..

NB: PEP is 100% sure
 
mkuu hata ukitumia kasongo ya Kongo,acha utani aisee
kasongo ninini? unafikiri transmission ingekuwa 100% kuna mtu angepona? mwanamke akitembea na mtu mwenye ukimwi yeye uwezekano wa kuambukiza ni 0.08%. 8 kati ya 10,000.
 
acha kupotosha mkuu, mimi binafsi nimetumia hizi PEP na wafanyakazi wenzangu pia wapo ambao nimeshuhudia wakipata exposure na wametumia kwa kufuata masharti na mpk sasa ni wazima wa afya, kama huna facts kaa kimya na uombe sana Mungu akuepushe na haya majanga kwani hakuna anaependa kupata maambukizi akiwa anatoa huduma..

NB: PEP is 100% sure
kiukweli PEP siyo 100% na hiyo sample yako ni ndogo kufika kwenye conclusion. lakini cure rate yake ni kubwa. usipotoshe watu wakawa na matumaini hewa.
 
Nilikua naomba swali niulize unaweza ukafanya mapenzi na muathirika na asikuambukize? Maana imepita mwez sasa toka nisex na mwanamke aliyeathirika hapa nilipo nina presha mpaka bac naombeni majibu jaman plz
Usiogope miye nishagonga Peku wanawake tisa na wote Affected but nilivyoenda kupima Negative.
Kati yao Wanne nishawazika...
Chamsingi hakikisha Papuchi kwakila Goli ina Unyevu wakutosha kabla hujamkandamiza DUSHELE..
 
kiukweli PEP siyo 100% na hiyo sample yako ni ndogo kufika kwenye conclusion. lakini cure rate yake ni kubwa. usipotoshe watu wakawa na matumaini hewa.
that was according to my research mkuu, sijawah kukutana na mtu alietumia PEP na akapata maambukizi
 
Hilo swali nililiuliza Miaka 5 iliyopita niliposikia mara ya kwanza kuhusu huduma ya sindano za pep kwa waliobakwa. Nilipewa majibu ya bei nafuu sana

Hakuna singano ni vidonge kimoja kila siku Kwa mwezi mmoja.
 
Back
Top Bottom