Ni kweli kuna dawa ya kuzuia maambukizi ya HIV ndani ya masaa 72?

Ni kweli kuna dawa ya kuzuia maambukizi ya HIV ndani ya masaa 72?

IPO ni ya sindano inaitwa PEP ngoja wataalam waje waielezee vzr
Siyo sindano ni vidonge,na kwa yule tu ambaye ni HIV negative na amekwenda kupata Huduma ndani ya saa 72 toka tukio lilipo tokea
 
Mnanichanganya sasa. Mwingine anasema PEP ni Post mwingine anasema ni Pre exposure prophylaxis. Nichukue IPI sasa?
PEP n post bwana hekimatele ani as inavojieleza post exposure baada ya kuji expose katika maambukizi........ Ila pia kuna PRE ambayo so far naijua ni iyo truvada iyo ni kabla ya kua exposed katika maambukizi ukitumia iyo chances za kupata maambukizi zinakua ndogo sana
 
IPO ni ya sindano inaitwa PEP ngoja wataalam waje waielezee vzr

Sindano?[emoji44][emoji44][emoji44][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
PEP n post bwana hekimatele ani as inavojieleza post exposure baada ya kuji expose katika maambukizi........ Ila pia kuna PRE ambayo so far naijua ni iyo truvada iyo ni kabla ya kua exposed katika maambukizi ukitumia iyo chances za kupata maambukizi zinakua ndogo sana
Tunashukuru kwa maarifa kaka ,ila Naomba ufafunuzi kidogo truvada ipoje na yenyewe
 
Usiogope miye nishagonga Peku wanawake tisa na wote Affected but nilivyoenda kupima Negative.
Kati yao Wanne nishawazika...
Chamsingi hakikisha Papuchi kwakila Goli ina Unyevu wakutosha kabla hujamkandamiza DUSHELE..
Na ulinyonya na matiti yao?
 
Habar wakuu,

Nimesikia hii habari kuwa kwenye mahospital kuna dawa zinazotelewa kwa wahanga mfano watoto wanaobakwa kuzuia maambukiz ya vvu ambapo muhusika anatakiwa kutumia ndan ya masaa 72

Nasikia husaidia kuzuia maambukizi ya virusi na magonjwa mengine ya zinaa, je hili lina ukweli? Na inakuaje kwa muhitaji ambae si muhanga na garama zake zikoje
Habari,

Ni kweli kwamba dawa za kuzuia maambukizi ya ukimwi kabla ya kufanya matukio hatarishi zipo.
Dawa hizi ziko kwenye kundi la PrEp (Pre Exposure Prophylaxis).

Zinatumika zaidi kwenye makundi hatarishi kama watumiaji wa dawa za kulevya, ngono za kibiashara, wafungwa, watoa huduka kwa waathirika wa Ukimwi nk.

Aina hii ya dawa zimeidhinishwa kwenye baadhi ya mataifa, mfano Canada kama nakumbuka vyema.

Hiyaji la msingi:
1: kupima kabla ya kutumia.
2: Hazizuii magonjwa mengine ya ngono.
3: Tumia dawa kadri ya maelekezo.
4: Zingatia muda wa matumizi kabla ya tukio.

Mfano wa dawa hizi ni:
1: Truvada-vidonge
2: Descovy-vidonge
3: Apretude-sindano
 
Ili ainywe lazima iwe ndani ya masaa 72 baada ya exposure, pia ni lazima apime ili kuhakikisha kuwa hana maambukizi. Dawa hizo zina side effects kibao na nyengine ni severe, binafsi nilishakutana na watu walioshindwa kukamilisha hizo siku 28 kutokana na hizo side effects. It's no joke!
Mkuu ukimaliza hizo pep kwa huo mwez ukapima labd after 1week upo negative je inakua na % ngap kuwa umenusurika?
 
Usiogope miye nishagonga Peku wanawake tisa na wote Affected but nilivyoenda kupima Negative.
Kati yao Wanne nishawazika...
Chamsingi hakikisha Papuchi kwakila Goli ina Unyevu wakutosha kabla hujamkandamiza DUSHELE..
[emoji477]️[emoji477]️ jichanganye
 
Back
Top Bottom