Ni kweli kuna Limbwata au ni vitisho tu?

Ni kweli kuna Limbwata au ni vitisho tu?

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
4,611
Reaction score
5,009
Hii ni kwa wanaume wote, tukae mguu sawa.

Je, hii kitu inaitwa limbwata ipo kweli ama ni mental cases tu zinasumbua watu? Kama lipo la mkoa gani ndo kali?
Unadhani kama ipo tunachomoanaje humo?

Maisha ni kusaidiana, tupeni ushuhuda na uzoefu. Wanawake pia tunawakaribisha.
 
Angalia ndugu zako, jirani zako, rafiki zako na watu wote unaojua wapo kwenye ndoa utapata majibu
 
Mwanaume mmoja anarogwa na wanawake 10 lazima upagawe 😂😂😂

Kuna moja hilo ndo konki, wanawake km mahusiano yako hayaeleweki, mwanaume hakupi pesa nione chap uchawi unao mwenyewe.!! Na km unataka kulipa kisasi kwa ex afirisike njoo haraka.
 
Lisemwalo lipo kama halipo basi linakuja.

Haya mambo ya ulozi uombe tu uwe unayasikia iviivi kwa wenzako.
 
Mwanaume mmoja anarogwa na wanawake 10 lazima upagawe [emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna moja hilo ndo konki, wanawake km mahusiano yako hayaeleweki, mwanaume hakupi pesa nione chap uchawi unao mwenyewe.!! Na km unataka kulipa kisasi kwa ex afirisike njoo haraka.

Tupe code basi
 
Nilipo ona umeweka na ka kingereza nikajua kuwa dawa zako ni fake。 Wale wenye dawa konki awajuagi hata kiswahili vizuri😀
😂😂😂😂 wewe mimi mganga wa ki digital
 
Siku hizi hata wanawake wanarogwa sana, limbwata lipo and it goes both ways. Sema wanaume wanaojielewa hawawezi kuroga wanawake ili wapendwe. In short ni kwamba, act right and be responsible, mapenzi ya kweli yapo na utayafurahia.
 
Back
Top Bottom