wajinga ndio waliwao🐒Jamani hivi kweli kuna waganga wa kienyeji wanaoweza kumpa mtu utajiri? Maana marangazo Kila Kona lakini ukifwatilia ni utapelitu wote hao wanataka pesa,nisaidieni tafadhali
Wapo wengi tu, kwani unadhani Mzee wa kupambania utajiri wake kaupata kwa njia Gani?Jamani hivi kweli kuna waganga wa kienyeji wanaoweza kumpa mtu utajiri? Maana marangazo Kila Kona lakini ukifwatilia ni utapelitu wote hao wanataka pesa,nisaidieni tafadhali
Ukishindwa kote jaribu kwenye diniUtaishia kvpigwa tu,
hata huko ni walewale, kwa nn wasiombe wakapata utajiri wanaanzisha makanisa kukusanya sadaka za maskini?Ukishindwa kote jaribu kwenye dini
Wangekuwa wa siri wangepewa madini, wawe matajiri tatizo vifua hawanaWapo wengi tu, kwani unadhani Mzee wa kupambania utajiri wake kaupata kwa njia Gani?
Sema vijana hamna siri, ndio maana wazee hawawapi madini.
Kuna mtu atakufuata pm ila ni muoga anachukua maelezo vizuri utendaji ziro😂😂😂 anapenda pesa za kiganga ila haziweziNdio zipo. Njoo nikupeleke kwa mganga wangu
Kuna mtu atakufuata pm ila ni muoga anachukua maelezo vizuri utendaji ziro😂😂😂 anapenda pesa za kiganga ila haziwezi
Watafute hao waganga uwajaribu mkuu,majibu utayapata tuJamani hivi kweli kuna waganga wa kienyeji wanaoweza kumpa mtu utajiri? Maana marangazo Kila Kona lakini ukifwatilia ni utapelitu wote hao wanataka pesa,nisaidieni tafadhali