Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
wajinga ndio waliwao🐒Jamani hivi kweli kuna waganga wa kienyeji wanaoweza kumpa mtu utajiri? Maana marangazo Kila Kona lakini ukifwatilia ni utapelitu wote hao wanataka pesa,nisaidieni tafadhali
Imeandikwa,
"watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa "
"mshike sana elimu, usimwache aende zake "