Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Katika pitapita zangu nimekutana na hii habari, kuwa kuna vyakula/vinywaji hutakiwi kula kwa wakati mmoja. Yaani "mfano" ule yai wakati huo huo ule ndizi utakufa.
Je ni kweli na kama kweli vipo? Msaada wa kuvitaja
Je ni kweli na kama kweli vipo? Msaada wa kuvitaja