Ni kweli kuna vyakula ambavyo husabisha kifo vikiliwa kwa wakati mmoja?

Ni kweli kuna vyakula ambavyo husabisha kifo vikiliwa kwa wakati mmoja?

Kuna nyingine niliambiwa eti, eti, Tango na Asali unavuta, sasa sijui kuna ukweli hapo?
Hakuna kitu kama hicho mi natafunaga sana asali na matango kila wakat na ninadunda tu!.
 
Hii asali na matango na UONGO kabisa mi nakula mara kwa mara na hakuna kitu kinachotokea zaid ya kushiba tu
 
kwahyo kwa kifupi hamna vyakula/vinywaji ambavo havipatan vikikutana mwilini?
 
Kule kwetu mila zetu zilikuwa zinakataza wakina mama kula mayai, figo, maini, nundu ya ng'ombe, filigisi n.k.
Zamani walikua hawana majibu ya kisayansi, so walieleza jambo kadri uelewa ulivoruhusu, kiuhalisia mama mjamzito akikula ivo vitu ananenepa sana na pia husababisha mtoto kukua mkubwa hivyo kupelekea matatizo wakati wa uzazi, kumbuka pia enzi hizo hakukua na maswala ya operation za uzazi hivyo vifo vingi vya wajawazito vilipelekea wahenga kuweka hiyo misimamo.
 
Ukitaka kuwajua madaktari bingwa humu JF ni rahisi sana Hahahahahaha
 
Kwanza tungeanza na Chemical Formula ya SUMU ni ipi?
Inawezekana ikawa zile Chemical Compositions za Sumu unazipata kwenye vyakula vya aina mbali mbali unavyokula kwa pamoja
 
Mimi shuhuda no1 Nimeshawi kula vyote na sijahisi chochote mwilini ila Leo ndio nasikia kwenu ati mtu anakufa ina maana Mimi ni mzimu!?

hahahah.... posted from heaven or hell embu nijuze mdau

watanzania tunapenda kutishana sana dadeki zetu
 
Back
Top Bottom